King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ushwahi kuna yale maua ya saa NNE? Ikifika saa nne asubuhi ndio yanachanua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu umekonda mpaka huwezi kuandika vizuri😀😀😀😀😀Kuna yale majani ya polini ukiyagusa yanasinyaa nayobyanaona wachwawi?
Kama umeamini hayobna weww utakuja kuwa mchawi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mmea una uwezo wa kuona wachawi, lakini unashindwa kupambana na wadudu wanaoutoboa toboa.
Haya mambo bana.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkuu umekonda mpaka huwezi kuandika vizuri😀😀😀😀😀
jifunze mzee upate elimu ya kila konaNipo mkoani Simiyu, nilikuja hapa Wiki iliyopita kumtembelea rafiki yangu, nyumbani kwake amepanda mmea wa ajabu sana, anadai mmea huo una uwezo wa kuona wachawi na kutoa ishara,mimi sikuamini hadi aliponiaminisha.
Picha hapo inaonyesha huo mmea baada ya kuona wachawi usiku umesinyaa kabisa,hadi asubuhi ulikuwa bado umesinyaa.
Picha nyingine hapo ni mchana mmea umerudi ktk hali yake na kutulia kabisa.
Nimejaribu kumdadisi kasema hawezi kuniambia kwa sababu mimi ni mlokole kama nataka kujua mengi juu ya mmea huo niingie ktk ushirikina 100%.
Pamoja na ulokole wangu napenda pia kujifunza mambo mengi kuhusu hii Dunia ya kutisha, wajuzi wa mambo kina mashana jr na wengineo njooni hapa kwa ufafanuzi zaidi. View attachment 774534View attachment 774535
Duu hii post inakaribia mwaka ndio naiona.... Je ulibahatika kuwaona hao wachawi wewe mwenyewe?Nipo mkoani Simiyu, nilikuja hapa Wiki iliyopita kumtembelea rafiki yangu, nyumbani kwake amepanda mmea wa ajabu sana, anadai mmea huo una uwezo wa kuona wachawi na kutoa ishara,mimi sikuamini hadi aliponiaminisha.