Mmea wa ajabu unao ona wachawi

Mmea wa ajabu unao ona wachawi

Ulimwengu wetu hauna mwanzo wala mwisho kuna mengi ya kutisha sana
 
Mmea una uwezo wa kuona wachawi, lakini unashindwa kupambana na wadudu wanaoutoboa toboa.
Haya mambo bana.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa fikira hizi hatuwezi kujikwamua na janga la ujinga
 
Tatizo la wabongo ni kudhania kila kitu ni ushirikina, uchawi wa Simba na Yanga umewaathiri watanzania wengi sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mmea uliokauka nimehesabu majani yake yako kwenye 20 hivi.

Mmea uliochanua majani yake hayafiki 19.

Unataka kutangaza biashara ya uganga huna lolote.
 
Nipo mkoani Simiyu, nilikuja hapa Wiki iliyopita kumtembelea rafiki yangu, nyumbani kwake amepanda mmea wa ajabu sana, anadai mmea huo una uwezo wa kuona wachawi na kutoa ishara,mimi sikuamini hadi aliponiaminisha.
Picha hapo inaonyesha huo mmea baada ya kuona wachawi usiku umesinyaa kabisa,hadi asubuhi ulikuwa bado umesinyaa.
Picha nyingine hapo ni mchana mmea umerudi ktk hali yake na kutulia kabisa.
Nimejaribu kumdadisi kasema hawezi kuniambia kwa sababu mimi ni mlokole kama nataka kujua mengi juu ya mmea huo niingie ktk ushirikina 100%.
Pamoja na ulokole wangu napenda pia kujifunza mambo mengi kuhusu hii Dunia ya kutisha, wajuzi wa mambo kina mashana jr na wengineo njooni hapa kwa ufafanuzi zaidi. View attachment 774534View attachment 774535
jifunze mzee upate elimu ya kila kona
 
Duu hii post inakaribia mwaka ndio naiona.... Je ulibahatika kuwaona hao wachawi wewe mwenyewe?

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom