Mmefanya kosa kubwa sana kuanza kuteka mapadre

..Maaskofu wangekuwa majasiri kama Mashekhe mabadiliko yangepatikana, na uchaguzi ungekuwa huru, na haki.
Kuna huyu mmoja wamemuwinda hadi akaamua kukimbia nchi anaitwa Pastor Kabigulila. Wengine wanapitia misukosuko ni mikubwa kama Askofu Bagonza.

Father Kitima walimkosakosa kumuua na nyundo. Gwajima amejificha kunusuru maisha yake baada ya kanisa lake kufungiwa na kuwindwa usiku na mchana. Nafikiri wanajitahidi kwa uwezo wao. Lakini wanataka kuishi pia.
 
..tatizo lao ni waoga.

..wakiweka mguu chini hakuna mtu atawagusa.
 
Ni binadamu, wana familia zao, wanapenda kuishi. Wameona yaliyomtokea Father Kitima, Gwajima, Pastor Kabigulila.

Wakikaza kuwapigania mtawalinda, mtawapa back-up au watabaki wenyewe wakihangaika na familia zao?

Lissu alipokamatwa Mbinga wanachama kwa maelfu na maelfu waliacha akamatwe na polisi hawazidi ishirini mchana kweupe, kuna kampeni za kuondoa, kupotezea attention, pressure, focus ya kumtafuta Polepole na watu wametulia.

Mdude, Soka, Chaula, Kibao, Kipanya wamesahaulika, Frida, Ofsa Ngiri, kiduku leo wanasota bila public support ya kutosha kwa kuonewa tu.
 
WE ARE COMING!!.

Unaanzisha Vita dhidi ya KANISA kwakua tu umeshauriwa Linda Rasimali za Nchi, Acha Utekaji ,Acha Mauaji ,Acha kuonea Wapinzani, Acha Kuiba Kura, Hakikisha Kuna Uchaguzi huru na Wa HAKI!!.

Kinyume chake, Unaamua kutumia Genge la Wauaji Kuteka Mapdre, kujaribu Kuua Mapdre, Kusumbua Kanisa na Mali zake !!.

Sasa Enough is Enough , Kimya Kinginkina Kishindo Kikuu!!.
Mkuu 'Carlos', hizi mada vipi mbona umezikazia sana; kuna mapadre wametekwa mahali ambao taarifa zao hazijafika hapa JF. Mbona wewe mwenyewe huweki mifano ili tujadili hili kama ni jambo jipya, tofauti na yale tunayo yajuwa.

Binafsi sipendi haya mapambano yawe ya mapadre na waumini wa dini hiyo. Hii ni vita ya waTanzania wote kwa ujumla wetu bila kujali hizi imani za watu.

Sasa tueleze kama wapo mapadre wametekwa au kuuawa hivi karibuni, mbali ya wale wanaofahamika tayari, kama padre Kitima.

Haya kamwe hayawezi kuwa mapambano ya kidini; pamoja na kwamba sumu hiyo tayari imekwisha sambazwa ndani ya jumuia. Ndiyo maana kuna wanaokaza kabisa juu ya AMANI, hata kama amani hiyo ni ya kutegemea mitutu ya bunduki visogoni mwa waTanzania; na kuna hawa wengine wanaoamini HAKI ni msingi wa AMANI. Huu tayari ni mgawanyiko unaofahamika, pamoja na kwamba watu hawataki kuujadili kama ulivyo.

Iangalie hiyo inayoitwa CCM, kama chama cha siasa, ambacho sasa kimekabidhiwa kwa BAKWATA na ndiyo maana ya kusisitiza AMANI bila ya HAKI.
 
..tatizo lao ni waoga.

..wakiweka mguu chini hakuna mtu atawagusa.
Hapana.

Hili swala la "uoga" siyo sahihi.

Uoga wa nini, kuwa watauliwa wote wakithubutu kupinga; au kuwekwa ndani?

Kutumia hii sababu ya "uoga" kuwa ndio inayo wazuia kuonekana kupinga kwa nguvu ni kutotaka tu kulitazama kwa kina swala zima.

Hawa ni watu wanaofuata taratibu za ndani ya taasisi yao. Kutakuwa na makatazo ya wao kufanya zaidi ya walivyo fanya; kutoa maonyo.
Hawa siyo waoga. Kuna sababu zinazo wabana.

N.B. Nimesoma habari ya Noriega hapo juu, ambayo naona umeiwekea alama baada ya kuandika niliyoweka huko juu.
Sasa sijui kama kunyamaza kwa hao maaskofu wa Nikaragua ilikuwa ni "uoga", au kuna sababu nyinginezo?
 
Ni binadamu, wana familia zao, wanapenda kuishi. Wameona yaliyomtokea Father Kitima, Gwajima, Pastor Kabigulila.

Wakikaza kuwapigania mtawalinda, mtawapa back-up au watabaki wenyewe wakihangaika na familia zao?

Lissu alipokamatwa Mbinga wanachama kwa maelfu na maelfu waliacha akamatwe na polisi hawazidi ishirini mchana kweupe, kuna kampeni za kuondoa, kupotezea attention, pressure, focus ya kumtafuta Polepole na watu wametulia.

Mdude, Soka, Chaula, Kibao, Kipanya wamesahaulika, Frida, Ofsa Ngiri, kiduku leo wanasota bila public support ya kutosha kwa kuonewa tu.
Mnapenda sana kuitumia mifano hii kuonyesha jinsi waTanzania wasivyo jali kuonewa na kudhalilishwa.
Sasa mnatumia mifano hiyo hiyo kuendelea na uovu mkifikiri daima waTanzania watakuwa kama mnavyo waelezea nyinyi.

Sasa mmesogea zaidi kwenye fuzi iliyo tayari kulipuka. Endeleeni na ujuha wenu ambao hata hamtapata muda wa kuujutia.
 
..NDIO.

..Maaskofu wameshindwa hata kumtetea Katibu wa Baraza lao aliyejeruhiwa na wahuni waliotumwa na Ccm.

..wameshindwa kusimama kidete huku utekaji, na mauaji yakiendelea.

..Maaskofu walimtetea TAL kidogo sasa hivi wamenywea.

..Uchaguzi utafanyika, na atatumwa Askofu kwenda kumuombea Mama Abduli siku ya kuapishwa.
NORIEGA. Huyu jamaa si aliwekwa ndani na Bush? Alirudi tena Nicaragua kutawala?

Ukisoma habari hiyo utaelewa udhaifu mkubwa uliomo ndani ya Kanisa kutetea chochote; na hali hii ndiyo wanayoitafuta sana akina Samia.
Bahati mbaya sana kwa nchi kama Tanzania ambayo kuna madhehebu mablimbali na dini zingine tofauti; hapa ndipo palipo na mtego mkubwa wanaotumia viongozi hafifu sana kama Samia.

Nina hofu sana kuwa kuna siku makanisa ya hawa watu yatakuwa yanapigwa mabomu na manyanyaso mengine mengi kama hali itaendelea kama inavyo onyesha sasa. Kwa hali ya namna hiyo, ni lazima wawe na hofu, lakini siyo uoga.
 
Kanisa Lina mchango mkubwa Dana Kwa Hali inayorndelea!

Limewahi kupata watu wenye ushawishi mkubwa Dana kama kina mkapa lakini wakaishia kunywa wine kwenye parokia zao na kutokua pro active kuhusu katiba mpya na tume huru plus rule of law!wamekua vocal pale wanapohisi maslahi Yao yameguswa!!

Muda was hukumu umefika!nasisitiza wangekua active katiba mpya ingepatikana kipindi Cha pili Cha mkapa!!
 
Mnapenda kanisa lijiingize kwenye ujinga wenu na wameshawakataa bado mnalilia lia tu humu

USSR
Ingekuwa ni hivyo wasingemteka padre, kuna mengi behind the curtains ambayo asiye na akili hawezi kuyaelewa.
 
Kinyume chake, Unaamua kutumia Genge la Wauaji Kuteka Mapdre, kujaribu Kuua Mapdre, Kusumbua Kanisa na Mali zake !!.
Yuda anasemaje kwani? Maana ulileta ile barua ya Christ the King Yuda atatoka mkuku mkuku akaja kukanusha ile barua hakuisaini yeye kwa hio upuuzwe, kwenye hili nalo kuna mkono wa Yuda au maana hachelewi kukukataa
 
Mnapenda kanisa lijiingize kwenye ujinga wenu na wameshawakataa bado mnalilia lia tu humu

USSR
Acha kulibeza Kanisa Mkuu. Unfahamu damu ya Padri mlimwaga juu ya ardhi na wamwagaji bado wamesimama juu ya ardhi hiyo hiyo? Hata sisi tusipopaza sauti zetu lkn damu ile itinena
na mawe yataongea.

Hukumuona Mama yenu kule Serengeti kawajaza maccm uwanjani lkn bado anawaita mapolisi wawashughulikie eti kwakuwa wanasukumana kwa wingi wao?? "Damu inanena"
 
Chadema wanatumia kila njia watu waingilie ugomvi wao na CCM, wanataka watu waingilie tu wamefail, wanataka makanisa wamefail sasa wanataka majeshi nayo wamefail. Fanyeni siasa bila udini mtaona mnapata watu na kubwa hawana support kabisa kwa wafanya biashara wakubwa nchi hii sababu ya kuhubiri fujo watu hawataki fujo hata kama wanataka mageuzi.
 
..Maaskofu wangekuwa majasiri kama Mashekhe mabadiliko yangepatikana, na uchaguzi ungekuwa huru, na haki.
Masheikh wepi unao ongelea hao wenue ujasiri, au mimi mimi ndio sijui maana ya ujasiri
 
Chadema wanatumia kila njia watu waingilie ugomvi wao na CCM, wanataka watu waingilie tu wamefail, wanataka makanisa wamefail sasa wanataka majeshi nayo wamefail. Fanyeni siasa bila udini mtaona mnapata watu na kubwa hawana support kabisa kwa wafanya biashara wakubwa nchi hii sababu ya kuhubiri fujo watu hawataki fujo hata kama wanataka mageuzi.
Ndio shida ya kutumia tundu la makalioni vibaya inamana serikali imezidiwa mbinu na Chadema ? Kuteka mteke nyie halafu msingizie Chadema , hao chadema wanao teka nanhawakamatwi na vyombo vya dola ni chadema gani kuuma wewe
 
Wewe ndio mfano halisi wa Chadema kuongea zero ila matusi Mungu kawajalia..... haya toka tarehe 29 kama kidume na utukane hivi hivi.......barabarani
 
Mkuu 'Carlos', hizi mada vipi mbona umezikazia sana; kuna mapadre wametekwa mahali ambao taarifa zao hazijafika hapa JF. Mbona wewe mwenyewe huweki mifano ili tujadili hili kama ni jambo jipya, tofauti na yale tunayo yajuwa.

Binafsi sipendi haya mapambano yawe ya mapadre na waumini wa dini hiyo. Hii ni vita ya waTanzania wote kwa ujumla wetu bila kujali hizi imani za watu.

Sasa tueleze kama wapo mapadre wametekwa au kuuawa hivi karibuni, mbali ya wale wanaofahamika tayari, kama padre Kitima.

Haya kamwe hayawezi kuwa mapambano ya kidini; pamoja na kwamba sumu hiyo tayari imekwisha sambazwa ndani ya jumuia. Ndiyo maana kuna wanaokaza kabisa juu ya AMANI, hata kama amani hiyo ni ya kutegemea mitutu ya bunduki visogoni mwa waTanzania; na kuna hawa wengine wanaoamini HAKI ni msingi wa AMANI. Huu tayari ni mgawanyiko unaofahamika, pamoja na kwamba watu hawataki kuujadili kama ulivyo.

Iangalie hiyo inayoitwa CCM, kama chama cha siasa, ambacho sasa kimekabidhiwa kwa BAKWATA na ndiyo maana ya kusisitiza AMANI bila ya HAKI.
Kuna Padre wa Katoliki jana/juzi amepotea huko Ruvuma Jimbo la Songea. Habari za kupoteza kwake zimetangazwa rasmi jana na jeshi la polisi. Alikuwa muhadhiri SAUT Mwanza.
 
Back
Top Bottom