Mmefanya kosa kubwa sana kuanza kuteka mapadre

Mmefanya kosa kubwa sana kuanza kuteka mapadre

WE ARE COMING!!.

Unaanzisha Vita dhidi ya KANISA kwakua tu umeshauriwa Linda Rasimali za Nchi, Acha Utekaji ,Acha Mauaji ,Acha kuonea Wapinzani, Acha Kuiba Kura, Hakikisha Kuna Uchaguzi huru na Wa HAKI!!.


Kinyume chake, Unaamua kutumia Genge la Wauaji Kuteka Mapdre, kujaribu Kuua Mapdre, Kusumbua Kanisa na Mali zake !!.


Sasa Enough is Enough , Kimya Kinginkina Kishindo Kikuu!!.
UNALIPWA BEI GANI KULETA PROPAGANDA ZA KIDINI??? ACHA USHOGA MTOTO WA KIKE
 
Mashekh siyo taasisi yenye muongozo (hakuna shekh anaye simamiwa) ni kila mtu anaye jua kiarabu cha dini na kuvaa kanzu anajiita shekh na kufungua msikiti ni kama walokole tu ...pia mashekh ni waoga kuliko kiumbe chochote tanzania

Masheikh Waoga kuliko Lwiva ???
 
NORIEGA. Huyu jamaa si aliwekwa ndani na Bush? Alirudi tena Nicaragua kutawala?

Ukisoma habari hiyo utaelewa udhaifu mkubwa uliomo ndani ya Kanisa kutetea chochote; na hali hii ndiyo wanayoitafuta sana akina Samia.
Bahati mbaya sana kwa nchi kama Tanzania ambayo kuna madhehebu mablimbali na dini zingine tofauti; hapa ndipo palipo na mtego mkubwa wanaotumia viongozi hafifu sana kama Samia.

Nina hofu sana kuwa kuna siku makanisa ya hawa watu yatakuwa yanapigwa mabomu na manyanyaso mengine mengi kama hali itaendelea kama inavyo onyesha sasa. Kwa hali ya namna hiyo, ni lazima wawe na hofu, lakini siyo uoga.

..Nadhani wanazungumzia Ortega.

..Noriega ni mwingine ndiye aliyetekwa.
 
Watu wajinga Huwa mnakawaida ya kutanguliza Pesa mbele.

utasikia.... ukifanya hivi, Mimi naweka Pesa !!.

Mnatumiaga Pesa kujaribu kufunika Ujinga , yaan Muheshimiwe kupitia Pesa.


MAANDAMANO ni ya Wananchi, Wala Kanisa halina mpango nayo !!.
Umekuwa mpole....
 
Kuna Padre wa Katoliki jana/juzi amepotea huko Ruvuma Jimbo la Songea. Habari za kupoteza kwake zimetangazwa rasmi jana na jeshi la polisi. Alikuwa muhadhiri SAUT Mwanza.
Sasa kama hata hawa Katoliki watakuwa wanachukulia mambo ya namna hii kimzahamzaha hivi; na wasipige makelele mengi sana ili wasikike; huo utakuwa ni upumbavu wa hali ya juu kabisa.

Wakati kama huu siyo wa kawaida hata kidogo; na waelewe, baada ya hapa hali itawawia mbaya sana.

Taarifa kama hiyo sasa hivi walipashwa kuitangaza kila mahali; makanisani kwao na kwenye mitandao yooote ili isambae kila mahali duniani kote.

Sasa wanakaa kimya ili iweje? Bado wanayo matumaini ya kuonewa huruma?
 
..Maaskofu wangekuwa majasiri kama Mashekhe mabadiliko yangepatikana, na uchaguzi ungekuwa huru, na haki.
Masheikh wana ujasiri gani zaidi ya njaa ya ubwabwa tu.

Sasa hivi unawasikia??
 
Mashekh ni waoga kuliko hata wanawake😁 nataka kuanza kuleta Nyuzi hapa JF nataka nikufundisheni na kukutieni AKILI MBALIMBALI KUANZIA ZA DINI SIASA KATIBA JINSIA HAKI NK MPO TAYARI WAKRISTO NA WAISLAMU MAANA WOTE NYINYI NI WAPUMBAVU MLIO DHAILI KABISA😁😁😁😁 adriz FaizaFoxy Covax Jagina Mufti kuku The Infinity Bwana Utam AL-mukheef

Mbona sijamsikia padri Lwiva mitaani kusema chochote , kabakia kuandika kwenye JF tu ??
 
Sasa kama hata hawa Katoliki watakuwa wanachukulia mambo ya namna hii kimzahamzaha hivi; na wasipige makelele mengi sana ili wasikike; huo utakuwa ni upumbavu wa hali ya juu kabisa.

Wakati kama huu siyo wa kawaida hata kidogo; na waelewe, baada ya hapa hali itawawia mbaya sana.

Taarifa kama hiyo sasa hivi walipashwa kuitangaza kila mahali; makanisani kwao na kwenye mitandao yooote ili isambae kila mahali duniani kote.

Sasa wanakaa kimya ili iweje? Bado wanayo matumaini ya kuonewa huruma?
Askofu ametoa taarifa polisi n.k.
 
Upo sahihi ...uislamu haupo kitaasisi ...yani wewe ukinunua kanzu tu na barakashia na kujua kiarabu cha dini basi unakusanya wafusi na kujiita shekh wa kishia au kisuni nk ...tayari waislamu wote wanakutambua kuwa wewe ni shekh...hivyo kusababisha kila mmoja kuropoka yake ...mfano muhuni shekh mazinge
Hawa mashehe ubwabwa wanazingua sana wasione bahasha ndo kabisaa
 
Sawa, kwahy ni show za kimya kimya kama Jay Mo.
 
Askofu ametoa taarifa polisi n.k.
Huyo askofu na wenzake watakuwa na matatizo makubwa akilini mwao; kama kupeleka taarifa polisi ndio njia pekee ya kuujulisha umma wa waTanzania na dunia nzima..
Kwani huyo Askofu na wenzake hawajui hadi sasa kwamba Padre Kitima alinusurika kifo? Wanajuwa kuwa polisi hawakupata taarifa za huyu padre, tena Katibu Mkuu wa TEC?
Wawaeleze waTanzania swala hilo la Kitima limefikia wapi hadi sasa huko polisi!

Hawa maaskofu na mapadre ni watu wasomi na wenye uelewa mkubwa wa mambo; sasa kama hadi wakati huu hawajui tatizo lilipo, hili litakuwa ni jambo la kushangaza sana.

Panapotokea mkasa kama huo wa padre kutekwa, njia pekee iliyopo sasa ni kupiga mayowe makubwa sana kila mtu asikie; hata kama hawana uwezo mwingine wowote wa kushughulikia jambo kama hilo.

Mbona hao watekaji wanapenda sana njia za ukimya namna hiyo!
Basi hawa mapadre na maaskofu wawe tayari kumalizwa huku wakiwa kimya kama kondoo.
 
Watetekwe tu kwani wao wanauspecial upi?
Hawana u-'special' wowote, ndiyo maana wanatekwa tu kama waTanzania wengine.

Wenye u-'special' ni watu kama wewe amabye ni kama nguruwe tu anayefugwa na Samia Suluhu Hassan na Genge lake.

Sasa, siye, waTanzania tusiokuwa na u-'special' tumeamua kuwashughulikia hao wafugaji wenu; Oktoba 29 nguruwe kama wewe utakuwa huna tena mfugaji wa kumtegemea akuachie makombo ya chakula.

Jiandae kwa hali hiyo ngumu.
 
posho yako buku 7 dola 5000 utauza myundu na figo?
Xumala maakooo,unadhani kila unyemkuta humu ana njaa kama wewe
Hii nalisha ukoo wenu mzima mpaka vijijini kwenu...

1760303496839.png

1760303776387.jpeg
 
Back
Top Bottom