Mmefanya kosa kubwa sana kuanza kuteka mapadre

UNALIPWA BEI GANI KULETA PROPAGANDA ZA KIDINI??? ACHA USHOGA MTOTO WA KIKE
 
Mashekh siyo taasisi yenye muongozo (hakuna shekh anaye simamiwa) ni kila mtu anaye jua kiarabu cha dini na kuvaa kanzu anajiita shekh na kufungua msikiti ni kama walokole tu ...pia mashekh ni waoga kuliko kiumbe chochote tanzania

Masheikh Waoga kuliko Lwiva ???
 

..Nadhani wanazungumzia Ortega.

..Noriega ni mwingine ndiye aliyetekwa.
 
Watu wajinga Huwa mnakawaida ya kutanguliza Pesa mbele.

utasikia.... ukifanya hivi, Mimi naweka Pesa !!.

Mnatumiaga Pesa kujaribu kufunika Ujinga , yaan Muheshimiwe kupitia Pesa.


MAANDAMANO ni ya Wananchi, Wala Kanisa halina mpango nayo !!.
Umekuwa mpole....
 
Kuna Padre wa Katoliki jana/juzi amepotea huko Ruvuma Jimbo la Songea. Habari za kupoteza kwake zimetangazwa rasmi jana na jeshi la polisi. Alikuwa muhadhiri SAUT Mwanza.
Sasa kama hata hawa Katoliki watakuwa wanachukulia mambo ya namna hii kimzahamzaha hivi; na wasipige makelele mengi sana ili wasikike; huo utakuwa ni upumbavu wa hali ya juu kabisa.

Wakati kama huu siyo wa kawaida hata kidogo; na waelewe, baada ya hapa hali itawawia mbaya sana.

Taarifa kama hiyo sasa hivi walipashwa kuitangaza kila mahali; makanisani kwao na kwenye mitandao yooote ili isambae kila mahali duniani kote.

Sasa wanakaa kimya ili iweje? Bado wanayo matumaini ya kuonewa huruma?
 
..Maaskofu wangekuwa majasiri kama Mashekhe mabadiliko yangepatikana, na uchaguzi ungekuwa huru, na haki.
Masheikh wana ujasiri gani zaidi ya njaa ya ubwabwa tu.

Sasa hivi unawasikia??
 

Mbona sijamsikia padri Lwiva mitaani kusema chochote , kabakia kuandika kwenye JF tu ??
 
Askofu ametoa taarifa polisi n.k.
 
Hawa mashehe ubwabwa wanazingua sana wasione bahasha ndo kabisaa
 
Sawa, kwahy ni show za kimya kimya kama Jay Mo.
 
Askofu ametoa taarifa polisi n.k.
Huyo askofu na wenzake watakuwa na matatizo makubwa akilini mwao; kama kupeleka taarifa polisi ndio njia pekee ya kuujulisha umma wa waTanzania na dunia nzima..
Kwani huyo Askofu na wenzake hawajui hadi sasa kwamba Padre Kitima alinusurika kifo? Wanajuwa kuwa polisi hawakupata taarifa za huyu padre, tena Katibu Mkuu wa TEC?
Wawaeleze waTanzania swala hilo la Kitima limefikia wapi hadi sasa huko polisi!

Hawa maaskofu na mapadre ni watu wasomi na wenye uelewa mkubwa wa mambo; sasa kama hadi wakati huu hawajui tatizo lilipo, hili litakuwa ni jambo la kushangaza sana.

Panapotokea mkasa kama huo wa padre kutekwa, njia pekee iliyopo sasa ni kupiga mayowe makubwa sana kila mtu asikie; hata kama hawana uwezo mwingine wowote wa kushughulikia jambo kama hilo.

Mbona hao watekaji wanapenda sana njia za ukimya namna hiyo!
Basi hawa mapadre na maaskofu wawe tayari kumalizwa huku wakiwa kimya kama kondoo.
 
Watetekwe tu kwani wao wanauspecial upi?
Hawana u-'special' wowote, ndiyo maana wanatekwa tu kama waTanzania wengine.

Wenye u-'special' ni watu kama wewe amabye ni kama nguruwe tu anayefugwa na Samia Suluhu Hassan na Genge lake.

Sasa, siye, waTanzania tusiokuwa na u-'special' tumeamua kuwashughulikia hao wafugaji wenu; Oktoba 29 nguruwe kama wewe utakuwa huna tena mfugaji wa kumtegemea akuachie makombo ya chakula.

Jiandae kwa hali hiyo ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…