Mmefanya kosa kubwa sana kuanza kuteka mapadre

Yule
Yule wa iringa mlisema katekwa Kumbe Ana depression
 
..Mashekhe ni majasiri ktk kusimamia jambo wanaloliamini.

..Maaskofu ni waoga. Nadhani wanaishi kwa raha sana ndio maana hawatetei wananchi.
Wewe ulitaka wafanyaje hili waonekane ni majasiri?

Ulitaka maaskofu washike mapanga na visu au bubduki wakapambane na Samia na genge lake la wauaji au?

Na hao mashekh wamewahi kufanya tukio gani la kijasiri kwa maslahi ya uma mpaka unawaona wao ni majasiri na kuwabeza maaskofu?

Na pia wewe mwenyewe mpaka sasa hivi umefanya physical efforts gani kukabiliana na hii hali iliyopo nchini kutuonesha wewe ni jasiri?
 
Imagine jitihada zote hizo watu wana risk maisha yao, halafu huyu JokaKuu anakwambia eti maaskofu hawatetei wanainchi sijui hawana ujasiri, halafu hapo hapo anawapa sifa mashekh ambao kila mtu anaona jinsi wanavyolama makalio ya samia kwa kutetea kila jambo tena kwa hoja za kipuuzi kweli..

Huyu jamaa JokaKuu atakuwa ni mvaa kobazi na anajaribu kuficha chuki aliyonayo kwa maaskofu ila anashindwa.

Kila mtu anaona jinsi huu utawala unavyowafanya viongozi wa kidini wakristu wanajaribu kupaza sauti na huku tayari kukiwa kuna narrative imejengeka kwenye vichwa vya wajinga wengi wa upande wa pili kwamba viongozi wa dini ya kikristo wako kwenye vita dhidi ya raisi muislamu, na hivyo kuhalalisha matukio wanaofanyiwa akina father Kitima.

Huyu jamaa angeweza kuwasifia hao mashekh bila kuwabeza maaskofu angeeleweka.
 
Code za Mashehe zinafunguka taratibu sana ,wale jamaa wameumbwa kama diesel tu ,huchelewa kutengeneza mlipuko ,ila wakilipuka huwa wanalipukaga kweli kweli.

Mimi binafsi namuombea sana Mungu Sa100 aendelee na hii operation yake ya kupoteza watu. ,hatupo mbali Waislaam wa Tanzania watamka na siku watakayoamua kuungamkono hoja , nawahakikishia haitaisha wiki ukombozi utakuwa ushapatikana
 
Nakuhakikishia hakuna mbwa kama wewe atakayeweza kuandamana hiyo tarehe kama siku zote mnavyoshindwa ahadi zenu za mihemko
 
Nakuhakikishia hakuna mbwa kama wewe atakayeweza kuandamana hiyo tarehe kama siku zote mnavyoshindwa ahadi zenu za mihemko
Wewe huna uwezo wa "kuhakikisha" chochote. Wewe ni nguruwe mfugwaji tu!
 

Kwa hali hii sidhani kama mtaachiwa tena

Your browser is not able to display this video.
 
Hujamuelewa mashehe wangekuwa ndio wameshika bango pasingelalika ila kwa sasa mashehe karibia woote wapo na Samia kwa jili ya matumbo yao.
Sasa mbona una rudia ujinga alio usema mwenzio, nisha sema mashekhe hamna kitu zaidi ya uchawa na foot lickers.

Wewe una sema wange kuwa, means bado hawawezi kwa vile ni akili kisoda.
 
Hudhani "kama mtaachiwa tena".
Unamzungumzia nani kumwachia mwingine yupi?
Wewe unadhani Samia atabaki hapo ndiye awe anaachia. Huoni kuwa akili yako tayari ni finyu?
Akili finyu alikuwa nayo baba yenu Nyerere aliyelibebä kanisa lake la kikatoliki huku akifikiri waislamu watakubali
 
Kwa lolote litakalotokea tarehe 29 October wa kulaumiwa ni CCM kwa kukataa mabadiliko kwa njia ya kistaarabu na kidemokrasia. Laiti ungekuwepo uchaguzi huru na wa haki na maoni ya wananchi yakaheshimiwa nchi hii ingekuwa ya amani na ingekuwa salama.
 
Akili finyu alikuwa nayo baba yenu Nyerere aliyelibebä kanisa lake la kikatoliki huku akifikiri waislamu watakubali
Ungekuwa na akili ungemshukuru sana Mwalimu Nyerere, kwa mtu duni kama wewe hata kuweza kuwa na hali uliyo nayo leo.
Tunajuwa vyema sana kinacho endelea sasa hivi chini ya huyu Samia na Genge lake. Ni kundi la waislam wapuuzi (siyo waislam wote) wanaoyumbisha taifa hili kwa sasa. Hamtaweza kuifanya Tanzania iwe Somalia mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…