Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo kwenye bank ngoja niangalie nilete mrejeshoJuzi kati episodes tatu za series ya Peacemaker. Nimeikubali sana, bila shaka itakuwa series bora sana. Na ina soundtracks za ukweli. Unaipa ngapi?
View attachment 2084080
Mkuu usijekuwa unasema hivyo sababu ni mnazi wa Marvel. Critics na mitandaoni watu wameikubali sana. Binafsi nimeikubali sana.bila shaka ni trash kutoka DC, I don’t trust John cena neither DC kwahiyo ni red light naona kila mahali
Sema hizi movie/series za comics waandaaji wako na dilemma sana. Kuna mashabiki wanaotaka ziwe friendly kwa watoto. Na wanaotaka ziwe violent na dark.series ya kawaida joking nying mpaka kero by the john cena kanifurahisha sana hii series kuna baadhi ya scene zina lugha mbovu na sexual content haifai kwa watoto hapa ndo DC wanapoharibu mambo
Mkuu mbona usipokuwa wa kudanganywa huwezi cheki movie na series.
Hizi comics ni kama leo uwachukue characters wa majarida ya Sani au Bongo uyaweke kwenye movies. Kwenye mechi za watani wa jadi timu ilikuwa inaenda mazoezini, wanachemshwa kwenye maji ya moto. Wanawekwa kwente pipa la nyoka nk, nk. Je utasema waliokuwa wanapenda yale majarida wanapenda kudanganywa danganywa?Hayo macomics huwa yana uongo wa wazi kabisa, tofauti na nyingine...
Mfano mtu anadondokewa na jengo hivi, halafu jengo linavunjika vipande vipande...
Hizi comics ni kama leo uwachukue characters wa majarida ya Sani au Bongo uyaweke kwenye movies. Kwenye mechi za watani wa jadi timu ilikuwa inaenda mazoezini, wanachemshwa kwenye maji ya moto. Wanawekwa kwente pipa la nyoka nk, nk. Je utasema waliokuwa wanapenda yale majarida wanapenda kudanganywa danganywa?
Kuna series kama Merlin dragon anaongea. Mara kwenye GoT mtu kapanda juu ya dragon. Mara sijui white walkers. Na hii ni series iliyopendwa zaidi. Utasema waliocheki wanapenda kudanganywa danganywa?
Utaipenda ET ya Spielberg halafu hizi utajidai siyo za akili!! Unafahamu kuwa Christopher Nolan ni director wa Dark knight rises, movie ya Batman? Usijilimit kwenye mambo ili uonekane cool.Mimi kama shabiki wa waigizaji kama Tom Hanks na directors kama Steven Spielberg na Christopher Nolan sitakiwi kusema chochote kuhusu hii. Hata uiweke repeat mwezi wiki nzima sebuleni siitazami
Mi binafsi naangalia movies na series za aina mbalimbali, si kuwa nimezama kwenye comics, hizo zote umetaja zijaziona, hiyo Arrows sikuweza kuendelea sababu sikuipenda.Ngoja tukubaliane kutokukubaliana...
Mimi si mpenzi sana wa comics ingawaje zipo kadhaa nimeshatazama kama Arrows, Flash (si yote), Daredevil, DC's Legends of Tomorrow...
Kitu ambacho nakataa ni kusema anayependa movies kama hizi ni anayependa kudanganywa dangaywa. Ni burudani tu, wote tunajua mieleka ya WWE ni maigizo lakini tunaipenda na si kuwa tunapenda kudanganywa.
Hizi comics ni kama leo uwachukue characters wa majarida ya Sani au Bongo uyaweke kwenye movies. Kwenye mechi za watani wa jadi timu ilikuwa inaenda mazoezini, wanachemshwa kwenye maji ya moto. Wanawekwa kwente pipa la nyoka nk, nk. Je utasema waliokuwa wanapenda yale majarida wanapenda kudanganywa danganywa?
series ya kawaida joking nying mpaka kero by the john cena kanifurahisha sana hii series kuna baadhi ya scene zina lugha mbovu na sexual content haifai kwa watoto hapa ndo DC wanapoharibu mambo