Mmeionaje series ya Peacemaker ya John Cena?

Mkuu usijekuwa unasema hivyo sababu ni mnazi wa Marvel. Critics na mitandaoni watu wameikubali sana. Binafsi nimeikubali sana.

Napenda marvel sana ila ikija swala la burudani nakuwaga objective, hata Movie ya Marvel ikiwa ovyo kama Eternals bila shaka ntasema
 
Utaipenda ET ya Spielberg halafu hizi utajidai siyo za akili!! Unafahamu kuwa Christopher Nolan ni director wa Dark knight rises, movie ya Batman? Usijilimit kwenye mambo ili uonekane cool.
Movie ikipitia studio za DC au Marvel ni ngumu kunishawishi. Unataka nisijilimit ila nimeshindwa kuzikubali siwezi jilazimisha kisa wewe unazipenda. Kwani nani kasema hizo sio za akili, yani movie nichague kutazama mimi makasiriko ukasirike wewe
 
umesema ni shabiki wa Nolan sasa kaangalie na Batman maana katengeneza yeye,
Kwahiyo you’re too cool kuangalia movie za DC au MCU, give me a break
 
Kwani The Dark Knight Rises ya Christopher Nolan haijapita DC? Nimekasirika uhypocrisy wako na siyo uchaguzi wako wa movie.
 
Movie chache za Marvel na DC nimetazama ila kusema niko too cool nazo unakosea. Mpaka nasema sizipendi that means nishatazama kadhaa na kuona nyingi ya ideas zao sio kwa ajili yangu.

Hiyo Batman ya Nolan unaisema ya 2005? Kumpenda director sio kupenda movie zake zote, ila nyingi ya movie zake ninazielewa. Hata Tom Hanks, Matt Damon na Mel Gibson nakubali wanavyoigiza ila sipendi movie zao zote.
 
Kwani The Dark Knight Rises ya Christopher Nolan haijapita DC? Nimekasirika uhypocrisy wako na siyo uchaguzi wako wa movie.
Umeelewa maana ya "nimeshindwa kuzikubali". Nimezitazama na sijazipenda kivile that's why sina mpango wa kuongeza movie kutoka kwa DC wala Marvel. Nimekuwa disappointed na No Way Home nililipa tiketi mapema kujaribu kuipenda Marvel ila yaleyale nikashindwa.

Nolan sio mwajiliwa wa kampuni yoyote kwamba atatoa kazi zote kupitia uko. Tenet, Inception, Dunkirk kazitoa kwao?
 
Kwa mantiki hapo mwisho, hukutakiwa kufananisha directors, waigizaji na movie studios. Hapo ndipo tulianza kutoelewana. Maana hata director anaweza kutengeneza genre ambayo huipendi, au kufanya kazi na studio usiyoipenda.

Directors wafananishwe na directors wenzao, studio kwa studio, actors kwa actors.
 
Nimekuwa disappointed na No Way Home nililipa tiketi mapema kujaribu kuipenda Marvel ila yaleyale nikashindwa.

Hahah No way Home imekudisapoint!? ww ulienda kuangalia kwa kufuata hype wakati hujaangalia spiderman zilizopita, No way home imejaa Nostalgia kibao Legends wanaelewa.

NWH mpaka Politicians kama kina Ben shapiro wanaikubali wametoa reviews na ubishi wao wote ule... ww ni nan
 
Humu mbona mna utoto wa kuamini ni lazima dunia nzima ipende movie zenu. Yani mnalia mnajishebedua as if mna hisa kwenye hizo kampuni watengenezaji. Ushawahi ona movie ina rating ya 100%?

Si lazima kila mtu apende kila unachopenda. Spider Man nimekua nazo na sijawahi zipenda
 
Ushawahi ona movie ina rating ya 100%?
Spider Man nimekua nazo na sijawahi zipenda

Sasa kwann ulikata ticket ukaenda kukaa front row seat... ndg yangu hauelewek yaan...angalia hii picha chin [emoji1427]
IMG_0891.jpg
 
I take my words back ... peace maker ina comedy ni kali hawajajichukulia serious, wako weirdo nimependa[emoji28]
Vigilante🔥🔥. Anaambiwa "I work for the government." Ye anauliza "Post office?" 😀😀
Huwa nacheka sana hapa.

Episode 4 leo au kesho.
 
Vigilante[emoji91][emoji91]. Anaambiwa "I work for the government." Ye anauliza "Post office?" [emoji3][emoji3]
Huwa nacheka sana hapa.

Episode 4 leo au kesho.

Ilivyoanza jamaa alivyosema “you are that racist superhero man, you only kill minorities” nilicheka balaa
 
Hahah No way Home imekudisapoint!? ww ulienda kuangalia kwa kufuata hype wakati hujaangalia spiderman zilizopita, No way home imejaa Nostalgia kibao Legends wanaelewa.

NWH mpaka Politicians kama kina Ben shapiro wanaikubali wametoa reviews na ubishi wao wote ule... ww ni nan
huyu anaenda na mhemuko [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom