Mmeionaje series ya Peacemaker ya John Cena?

series ya kawaida joking nying mpaka kero by the john cena kanifurahisha sana hii series kuna baadhi ya scene zina lugha mbovu na sexual content haifai kwa watoto hapa ndo DC wanapoharibu mambo
 
bila shaka ni trash kutoka DC, I don’t trust John cena neither DC kwahiyo ni red light naona kila mahali
Mkuu usijekuwa unasema hivyo sababu ni mnazi wa Marvel. Critics na mitandaoni watu wameikubali sana. Binafsi nimeikubali sana.
 
series ya kawaida joking nying mpaka kero by the john cena kanifurahisha sana hii series kuna baadhi ya scene zina lugha mbovu na sexual content haifai kwa watoto hapa ndo DC wanapoharibu mambo
Sema hizi movie/series za comics waandaaji wako na dilemma sana. Kuna mashabiki wanaotaka ziwe friendly kwa watoto. Na wanaotaka ziwe violent na dark.
 
DC huwa wanatoa macomics tu, inabidi uwe mtu wa kudanganywa danganywa kupenda kazi zao...
Mkuu mbona usipokuwa wa kudanganywa huwezi cheki movie na series.
 
Mimi kama shabiki wa waigizaji kama Tom Hanks na directors kama Steven Spielberg na Christopher Nolan sitakiwi kusema chochote kuhusu hii. Hata uiweke repeat mwezi wiki nzima sebuleni siitazami
 
Hayo macomics huwa yana uongo wa wazi kabisa, tofauti na nyingine...

Mfano mtu anadondokewa na jengo hivi, halafu jengo linavunjika vipande vipande...
Hizi comics ni kama leo uwachukue characters wa majarida ya Sani au Bongo uyaweke kwenye movies. Kwenye mechi za watani wa jadi timu ilikuwa inaenda mazoezini, wanachemshwa kwenye maji ya moto. Wanawekwa kwente pipa la nyoka nk, nk. Je utasema waliokuwa wanapenda yale majarida wanapenda kudanganywa danganywa?

Kuna series kama Merlin dragon anaongea. Mara kwenye GoT mtu kapanda juu ya dragon. Mara sijui white walkers. Na hii ni series iliyopendwa zaidi. Utasema waliocheki wanapenda kudanganywa danganywa?
 
Ngoja tukubaliane kutokukubaliana...

Mimi si mpenzi sana wa comics ingawaje zipo kadhaa nimeshatazama kama Arrow, Flash (si yote), Daredevil, DC's Legends of Tomorrow...

Na hiyo ya John Cena nimeona kuna genre ya comedy, nahisi tu watakuwa wamei-overdo, sababu Cena huwa anaweza sana kupiga porojo...
 
Mimi kama shabiki wa waigizaji kama Tom Hanks na directors kama Steven Spielberg na Christopher Nolan sitakiwi kusema chochote kuhusu hii. Hata uiweke repeat mwezi wiki nzima sebuleni siitazami
Utaipenda ET ya Spielberg halafu hizi utajidai siyo za akili!! Unafahamu kuwa Christopher Nolan ni director wa Dark knight rises, movie ya Batman? Usijilimit kwenye mambo ili uonekane cool.
 
Ngoja tukubaliane kutokukubaliana...

Mimi si mpenzi sana wa comics ingawaje zipo kadhaa nimeshatazama kama Arrows, Flash (si yote), Daredevil, DC's Legends of Tomorrow...
Mi binafsi naangalia movies na series za aina mbalimbali, si kuwa nimezama kwenye comics, hizo zote umetaja zijaziona, hiyo Arrows sikuweza kuendelea sababu sikuipenda.

Kitu ambacho nakataa ni kusema anayependa movies kama hizi ni anayependa kudanganywa dangaywa. Ni burudani tu, wote tunajua mieleka ya WWE ni maigizo lakini tunaipenda na si kuwa tunapenda kudanganywa.
 
😁

Yaani maana yangu ni kuwa, kwenye comics zile fictions zipo too obvious...mfano hebu imagine mtu eti anaibeba dunia na kuikwepesha isigongwe na meteors πŸ˜‚πŸ˜‚

Huko kwingine ndio tunajua wanaigiza, lakini end product yake inakuwa very close to reality...
 
Nimeupenda huu mfano Sir..[emoji1430]
 
series ya kawaida joking nying mpaka kero by the john cena kanifurahisha sana hii series kuna baadhi ya scene zina lugha mbovu na sexual content haifai kwa watoto hapa ndo DC wanapoharibu mambo

Itabid niaangalie, napendaga movie yenye Lugha mbovu na hata sexual contents twende tu.. kasoro isiwe na gruesome violence kama The Boys kutoka Amazon original ilinisumbua kuangalia kidg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…