Mkuu usijekuwa unasema hivyo sababu ni mnazi wa Marvel. Critics na mitandaoni watu wameikubali sana. Binafsi nimeikubali sana.
Movie ikipitia studio za DC au Marvel ni ngumu kunishawishi. Unataka nisijilimit ila nimeshindwa kuzikubali siwezi jilazimisha kisa wewe unazipenda. Kwani nani kasema hizo sio za akili, yani movie nichague kutazama mimi makasiriko ukasirike weweUtaipenda ET ya Spielberg halafu hizi utajidai siyo za akili!! Unafahamu kuwa Christopher Nolan ni director wa Dark knight rises, movie ya Batman? Usijilimit kwenye mambo ili uonekane cool.
Movie ikipitia studio za DC au Marvel ni ngumu kunishawishi. Unataka nisijilimit ila nimeshindwa kuzikubali siwezi jilazimisha kisa wewe unazipenda. Kwani nani kasema hizo sio za akili, yani movie nichague kutazama mimi makasiriko ukasirike wewe
Kwani The Dark Knight Rises ya Christopher Nolan haijapita DC? Nimekasirika uhypocrisy wako na siyo uchaguzi wako wa movie.Movie ikipitia studio za DC au Marvel ni ngumu kunishawishi. Unataka nisijilimit ila nimeshindwa kuzikubali siwezi jilazimisha kisa wewe unazipenda. Kwani nani kasema hizo sio za akili, yani movie nichague kutazama mimi makasiriko ukasirike wewe
Movie chache za Marvel na DC nimetazama ila kusema niko too cool nazo unakosea. Mpaka nasema sizipendi that means nishatazama kadhaa na kuona nyingi ya ideas zao sio kwa ajili yangu.umesema ni shabiki wa Nolan sasa kaangalie na Batman maana katengeneza yeye,
Kwahiyo you’re too cool kuangalia movie za DC au MCU, give me a break
Umeelewa maana ya "nimeshindwa kuzikubali". Nimezitazama na sijazipenda kivile that's why sina mpango wa kuongeza movie kutoka kwa DC wala Marvel. Nimekuwa disappointed na No Way Home nililipa tiketi mapema kujaribu kuipenda Marvel ila yaleyale nikashindwa.Kwani The Dark Knight Rises ya Christopher Nolan haijapita DC? Nimekasirika uhypocrisy wako na siyo uchaguzi wako wa movie.
Kwa mantiki hapo mwisho, hukutakiwa kufananisha directors, waigizaji na movie studios. Hapo ndipo tulianza kutoelewana. Maana hata director anaweza kutengeneza genre ambayo huipendi, au kufanya kazi na studio usiyoipenda.Umeelewa maana ya "nimeshindwa kuzikubali". Nimezitazama na sijazipenda kivile that's why sina mpango wa kuongeza movie kutoka kwa DC wala Marvel. Nimekuwa disappointed na No Way Home nililipa tiketi mapema kujaribu kuipenda Marvel ila yaleyale nikashindwa.
Nolan sio mwajiliwa wa kampuni yoyote kwamba atatoa kazi zote kupitia uko. Tenet, Inception, Dunkirk kazitoa kwao?
Mumeo akili hio niitoe wapi,akili yangu inajua kulenga lile tundu tamu basi.Kwani unaakili ya kuweza kuelewa kinachoendelea?
Nimekuwa disappointed na No Way Home nililipa tiketi mapema kujaribu kuipenda Marvel ila yaleyale nikashindwa.
Humu mbona mna utoto wa kuamini ni lazima dunia nzima ipende movie zenu. Yani mnalia mnajishebedua as if mna hisa kwenye hizo kampuni watengenezaji. Ushawahi ona movie ina rating ya 100%?Hahah No way Home imekudisapoint!? ww ulienda kuangalia kwa kufuata hype wakati hujaangalia spiderman zilizopita, No way home imejaa Nostalgia kibao Legends wanaelewa.
NWH mpaka Politicians kama kina Ben shapiro wanaikubali wametoa reviews na ubishi wao wote ule... ww ni nan
Ushawahi ona movie ina rating ya 100%?
Spider Man nimekua nazo na sijawahi zipenda
bila shaka ni trash kutoka DC, I don’t trust John cena neither DC kwahiyo ni red light naona kila mahali
Vigilante🔥🔥. Anaambiwa "I work for the government." Ye anauliza "Post office?" 😀😀I take my words back ... peace maker ina comedy ni kali hawajajichukulia serious, wako weirdo nimependa[emoji28]
Vigilante[emoji91][emoji91]. Anaambiwa "I work for the government." Ye anauliza "Post office?" [emoji3][emoji3]
Huwa nacheka sana hapa.
Episode 4 leo au kesho.
Mumeo alikufunda vyema.Kama akili hauna nitaishi na wewe kwa akili kama tulivyoagizwa.
huyu anaenda na mhemuko [emoji1787][emoji1787]Hahah No way Home imekudisapoint!? ww ulienda kuangalia kwa kufuata hype wakati hujaangalia spiderman zilizopita, No way home imejaa Nostalgia kibao Legends wanaelewa.
NWH mpaka Politicians kama kina Ben shapiro wanaikubali wametoa reviews na ubishi wao wote ule... ww ni nan
huyu anaenda na mhemuko [emoji1787][emoji1787]