Mmejitahidi sana kuipamba na kuinogesha harusi ya leo, ila hata haijafikia 25% ya iliyokuwa Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia

Mmejitahidi sana kuipamba na kuinogesha harusi ya leo, ila hata haijafikia 25% ya iliyokuwa Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia

Hii harusi ya leo kali sana acha majungu

Harusi kuwa nzuri sababu sio chakula wala vinywaji. Bali ni maharusi wenyewe jinsi wanavyoendana. Jinsi wavyopendwa na jamii hasa watoto.

Unajua leo kanisani watoto waliokuwa kwenye mafundisho wa kipaimara walitoroka darasani kwao sababu kwenda kuwaona maharusi tu wanavyoingia kanisani na kwenye ibada watoto wakazama wakasahau mafundisho yao
Labda kwenu tandale
 
Kumbe hata Wewe pia unamjua Ali Kiba? Mliokuja Mjini na Malori ya Nguruwe, Bata, Mbuzi na Ng'ombe mnajulikana tu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] POPOMA umekula ban kwenye ID yako ile.
 
Umeona wapi Harusi yenye Wapare ikafana hasa kwa Vinywaji na Maakuli? Nasikia wagawa Bia wameelekezwa kuwa Bia ni Moja tu, ila kuja nazo zako na kuingia nazo Ukumbini ni rukhsa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nssf hapo sijawaelewa....
Bado nalia nao

Ova
 
Bora hata na crdb kidogo

Ila nssf nime spaculate kichwani nimekosa jibu why ? How ?

Hai make sense kabisa


Halafu kwenye mafao wanazungusha watu
167 milioni sio mchezo Bora wakazamini ndondocup wangepata wanachama wa hiari wauza mitumba.......
 
Back
Top Bottom