Mmejitahidi sana kuipamba na kuinogesha harusi ya leo, ila hata haijafikia 25% ya iliyokuwa Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia

Mmejitahidi sana kuipamba na kuinogesha harusi ya leo, ila hata haijafikia 25% ya iliyokuwa Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia

Kumbe ulikuwepo mkuu kwenye ndoa yangu yule dada syo kabisa dingi alilazmisha nimuoe

Karibu Texas sasa nimeoa toto la kimexico maisha n mpwito mpwito
Peramiho hukufanya utafiti wa kina ungeyajua wala usingemchumbia huyo binti au ungemuoa ukiwa unaliju
Kumbe ulikuwepo mkuu kwenye ndoa yangu yule dada syo kabisa dingi alilazmisha nimuoe

Karibu Texas sasa nimeoa toto la kimexico maisha n mpwito mpwito
Peramiho hukufanya utafiti wa kina ungeyajua wala usingemchumbia huyo binti au ungemuoa ukiwa unalijua hilo ila ungemrekebisha taratibu.Wanawake wakichaga mila zao hawako romantic kwa wanaume
 
Harusi hii naikumbuka mbwembwe zake haikuwa miaka ya mwisho ya tisini ilikuwa miaka ya mwanzo ndio nilikuwa namaliza mlimani ulikuwa utawala wa mzee wa hekima mzee ruksa.
nilikunywa bia sana siku hiyo.
Kuna mtaa barabara zilifungwa kabisa kwa kibali maalum
Ajabu wiki mbili kupita nikasikia ndoa imevunjika
 
Back
Top Bottom