Harusi hii naikumbuka mbwembwe zake haikuwa miaka ya mwisho ya tisini ilikuwa miaka ya mwanzo ndio nilikuwa namaliza mlimani ulikuwa utawala wa mzee wa hekima mzee ruksa.
nilikunywa bia sana siku hiyo.
Kuna mtaa barabara zilifungwa kabisa kwa kibali maalum
Ajabu wiki mbili kupita nikasikia ndoa imevunjika