Mmekuwa watu wa kucheza na dola mkijua Rais Samia atakuwa mtu wa kuwafutia kesi!

Kama anaweza kuwafutia baadhi ya watu kesi halafu za ugaidi hatufai.
Kwa nini hajawafutia watuhumiwa wa wengine ila hao tu?

Vp,hakuingilia uhuru wa mahakama hapo?
Kama ni kweli basi hatufai hata kidogo maana kuna watu wanateseka kwa kunyimwa haki zao wakati waliopaswa kufungwa wana neemeka.
Hivyo siyo mtu mzuri,au nasema uongo ndugu zangu?
 
Rudi shule

Pumba๐Ÿšฎ

Msibanwe na haja za mara kwa mara mtakapokutana na maswali ya Kibatala mahakamani na simu zisiamue shitaka Kama kawaida yenu. Mtaaibika mno safari hii Bora muifute mapema.

Gifted fool..

๐Ÿ’ฏ๐Ÿ‘‰๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’

โ˜๐Ÿฟmaroboti ya CHADEMA JF

...eti ndio GT๐Ÿ˜…๐Ÿ˜Œ Great thinkers hawa ama Great Tinkerers?

Mnashindwaje kuchambua hoja basi hata muonyeshe matundu yaliyomo kwenye hoja kama yapo mnarukia kumshambulia mtu?

Nyie ni watu wa ....aaaarrrg nyie ni maroboti ya ajabu sana
Mfyuuuuuu7uu
 
Wasiifute kesi, wamnyonge Lissu halafu tuone kifuatacho.
 
Ndiyo ndugu robot mbobevu umefanya vyema kujitanabaisha wasifu wako! Endelea kutumika kifala huku ukizidi kulambishwa viatu vya Wala nchi! NRNE ni lazima siyo ombi. Mwambie na jirani yako kwa sauti kubwa kuwa NRNE.
 
Siku mama yako akibambikiziwa kesi ndipo akili zitakukaa vizuri.
Polisi wa nchi hii asilimia kubwa ni wala rushwa na waonevu.
 
Ndiyo ndugu robot mbobevu umefanya vyema kujitanabaisha wasifu wako!
โ˜๐Ÿฟ๐Ÿ”ฅ Wananchi wa Nchi hii wanatambua SYLLOGIST! siyo roboti, hata ukiyakoroga vipi.
Endelea kutumika kifala huku ukizidi kulambishwa viatu vya Wala nchi! NRNE ni lazima siyo ombi. Mwambie na jirani yako kwa sauti kubwa kuwa NRNE.
Toba๐Ÿ‘€๐Ÿ˜Œ
Kwa kusema natumika kifala una maana na wewe ndivyo unavyotumika?

You have sold your soul to the Devil

...Siwezi nikamwambia jirani yangu afanye Uasi kwa Serikali na hatimae Taifa. Yaani siwezi kuwashawishi wafanye Uhaini.

Nyie Mamluki mmemuingiza Laigwanaan Tundu mkenge, mmemtumia kama kafara mkampiga risasi kwa hila tu ili mje mchafue hali ya kisiasa nchini

Mshindwe
 
Unamaanisha hata hiyo Yesu unayemfuta mlitoa kafara siyo? Mnafiki!
 
Kiukweli hii kesi ya Lissu isipofika hadi mwisho na kutolewa hukumu, binafsi nitakata tamaa. Nataka kesi ifike mwisho na ikiwezekana Lissu ashindwe na AHUKUMIWE KUNYONGWA HADI KUFA!
 
Karibu sana Jf
Hapa ni Home of Great thinker.

Sio sehemu ya umbea.
Vilaza na Ubuyu.
 
Lissu akaemo hata miezi mitatu vyuma vipate baridi yabisi apitilizie kwa bwana zake mabeberu wa ubelgiji akalazww
Utashangaa hiuo miezi 3 wewe umekata moto unamuacha anadunda. Usimuombee mwenzako mabaya ambayo yakikufika wewe utalia na kusaga meno
 

Gombe la mama kazini:

I
 
Gazeti lote hili! Umelipwa kiasi gani wewe mpuuzi mwenye laana!?
 
Chaaawa la kunuka mpfyuuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ