Mmekuwa watu wa kucheza na dola mkijua Rais Samia atakuwa mtu wa kuwafutia kesi!

Tunahitaji kuwa na serikali ambayo imeset standard,kwamba kiongozi akitamka jambo liwe ni la kweli na watu wote waamini sio serikali ambayo viongozi wajipendekeza tu Tena wanasema uongo mchama kweupe,hiyo serikali haiwezi kuaminika. Wizi wa kura wa wazi wazi halafu eti mahakama ziaminike
 
Post zako Irene ni pumba tupu.
 
Wasemaji mko wengi mno!
 
Mbona mbowe alimfutia kesi na kumwita ikulu...
 
Mmekua watu wakutumia dola kwa maslahi yenu binafsi fanyeni siasa kama wanasiasa vueni joho muwe na aibu mnajinasibu kufanya makubwa mnaogopa uchaguzi huru na wa Haki hii dunia tunapita wote hatutaishi milele
 
Huna akili
And you think it's bness as usual!
Watch ,Mungu alivyo kazini.
Yaani ht mrudi kwenye hiko kiti ni menemene tekeli na peresi,hakuna mjadala!
Viti vitawatapika, mbona mbele za Mungu machozi yanaongea endeleeni tu!

Sio Kila mtu wa kuchezea nae na hasa km ana assignment maalumu!
 
mnajinasibu km nchi yenye Demokrasia lakini hakuna hata chaguzi moja iliyofuata haki na uwazi wa Demokrasia
 
Upuuzwe wewe na hoja zako zenye makengeza, uchawa tu ndiyo unakusumbua pimbi wewe.
 
Unajitahidi, utafika mbali. Ni vizuri ukamuomba Lucas awe anakusaidia kuboresha andiko lako kila unapotaka kupost maana bado hujafikia viwango vya ubora unaohitajika. Ila shauri pia wananchi waruhusiwe kutumia haki yao ya kisheria kuhudhuria mahamani kusikiliza kesi uliyoitaja ili haki ionekane ikitendeka
 
Ku
Kuuza gari ili ushinde kesi ya Tairi 😳 ! ??
😅😄🤷‍♂️
 
Kesi ya Lisu ni ya kisiasa zaidi huwezi kulinganisha na kesi zingine za jinai. Akina Mwabukusi hawakushtakiwa kwa kesi ya uhaini kwa kupinga mchakato wa kuuza bandari? Majuzi hapa Dr. Slaa naye alidai kufunguliwa kwa kesi ya namna hiyo. Ukweli matumizi mabaya ya vyombo vya dola ndio ya kulalamikiwa zaidi. Kesi ya Lisu ni ya kisiasa kama ambavyo tumeshuhudia kwa wapinzani wengi katika bara la Afrika.
Unachoongea wewe sehemu kubwa ni unafiki tu,kwamba huijui nchi hii.
Kama ungekuwa muumini wa kweli wa haki si ungehoji uwezo wa vyombo vya dola kushindwa kupeleleza kesi ya jaribio la kumuua Lisu 2017. Huoni huu ni Makati wa kumdhulumu Lisu ambaye ametuhumu serikali kuhusika na jaribio la kumuua!! Ukimuita mtu ni mpole maana yake ni muungwana mbona alinyamaza kimya uchaguzi ukiharibiwa 2024??
 
Kweli kabisa
 
Tatizo la mahakana ni lie kuchewesha kesi!
 

Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia Suluhu Hassani sio wa dini yao na pengine kwasababu ni kiongozi shupavu mwananmke.

Dhamira na nia njema ya mbeba maono huyu wa waTanzania, ndio haswa chimbuko la uongozi wake madhubuti wa kisayansi dhidi ya wahubiri chuki na wachochea uhasama dhidi ya serikali yake sikivu ya CCM anayoiongoza.

Dr.Samia Suluhu Hassan ni mnyenyekevu na msikivu wa kiwango cha juu mno katika historia ya nchi yetu, hasa anapotekeleza majukumu yake muhimu sana ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote kwa ujumla. Hapajawahi kutokea kiongozi mstahimilivu mwenye subra, hekima na busara kama huyu wa Tanzania kwa sasa.
Kama taifa yafaa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya huyu mama Dr.Samia, na kuzidi kumuombea kwa Mungu aendelee kumjalia afya njema na maono zaidi katika kuwatumikia na kuwaletea waTanzania maendeleo.

Msingi wa uongozi wake imara na usio tetereka, umejengwa katika falsafa yake mwenyewe ya maridhiano, mageuzi, ukarabati na ustahimilivu. Msingi wa falsafa hii ndiyo imeiliunganisha Taifa letu kutoka kwenye migawanyiko na hatimae kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu kutoka kujitenga.
Na matokeo yake uchumi wetu unaimarika, huduma za kijamii ni za uhakika zaidi na hali ya kisiasa ikizidi kuboreshwa siku hadi siku kuelekea uchaguzi mkuu wa october2025.

Hekima na Busara za Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, daima zimekua tiba na dawa ya mikwamo na changamoto ndogo ndogo za kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa nchi yetu, licha ya hujuma, kelele za chuki za kidini, msukumo wa mataifa ya nje kwa kutumia vibaraka wao ndani ya vyama vya siasa na madhehebu ya kidini, kujaribu kuhujumu na kuvuruga jitihada za mtukufu Rais za kuimarisha umoja na amani ya waTanzania. Ni fahari kwa kila mTanzania mzalendo kujivunia umahiri wa Dr.Samia Suluhu Hassan katika kusimama imara katika nafasi yake ya urais, huku akiwatumikia waTanzania kwa weledi wa kiwango cha juu sana na serikali yake sikivu ya ccm.🐒

Well done Dr.Samia Suluhu Hassan
God Bless You Mama. Kutoka kwa chawa mwandamizi..
 
Akisema Hana muhali, tutampatia muhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…