Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona habar yako ipo juu juu tu, au bundle la chuo limeishaNaona Lemutuuz amewa_inspire wengi.Maurid naona naye amekuwa king of social media.Kwanini amekuwa hivyo sasa? Au amepata rabsha kwenye mahusiano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubiri tamko kutoka kwa mkuluHivi mishahara ya watumishi wa umma bado haijatoka ya mwezi huu?
Nimejitahidi mkuu kufuatilia mstari hadi mstari lakini sielewi bado labda ungepambanua zaidi
hah hah hah hah hah ukihadithiwa nitaTag plzatakayeelewa mada naomba anihadithie.
Hahaaa...huyu kaiba simu ya mama yake
Sent From Ikulu-Magogoni street
Sifa na show off zinamwendesha (drive)Naona Lemutuuz amewa_inspire wengi,Maurid naona naye amekuwa king of social media.Watu wengi sasa hivi wameiga maisha ya lemutuz ya kupost kila wanalofanya au kuona kwenye mitandao hasa instagram,Maulid Kitenge naye ameiga tabia hiyo anapost kila kitu afanyacho.Kwanini amekuwa hivyo sasa? Au amepata rabsha kwenye mahusiano?
Sent using Jamii Forums mobile app