Mmemuona Maulid wa Kitenge?

Mmemuona Maulid wa Kitenge?

Ndioo nini sasa hiyoo... Kuwa serious basi
 
Jamaa anashangaa Kitenge kupost sana maisha yake mitandaoni, kama mzee kijana Le mutuzi. Ila mwandiko sasa haueleweki kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana na hali yako acha kufuatilia maisha ya watu

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Naona Lemutuuz amewa_inspire wengi,Maurid naona naye amekuwa king of social media.Watu wengi sasa hivi wameiga maisha ya lemutuz ya kupost kila wanalofanya au kuona kwenye mitandao hasa instagram,Maulid Kitenge naye ameiga tabia hiyo anapost kila kitu afanyacho.Kwanini amekuwa hivyo sasa? Au amepata rabsha kwenye mahusiano?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa na show off zinamwendesha (drive)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyinine uwe unaandika Kiswahili, hapa naona umeandika ki-Ebrania, sijakuelewa
 
Back
Top Bottom