Tajiri Hasheem au DAB?Hivi hii timu tajiri Nani
Mafanikio Tele Jana Nilisikia Team Hiyo IkitajwaWanatuwakilisha vizuri.
yes yeye urefu wake ni advantage kuzuia mipira ya kizembe nimeona alivyokua anazuia 💪 anahitaji ya mazoezi ya kumfanya awe mwepesi na kasiI hope wataqualify kwa hatua hii.
Zouzwa anafanya vizuri mno.
Rais wao Hashim mzito kidogo kwenye kuzuia ajitahidi zaidi.