Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 3,258
- 6,504
Lucas Mwashambwa anasema eti tumshukuru Samia kwa Dar City kufanya vizuri
Tufungue mkuuMradi wa watu huo, kaa mbali kabisa
Wanasiasa wakijiingiza tu inaanza kuchezea vichaNadhani Jk aliwatembelea leo.
Wajiandae kupoteza.......
😆😆😆😆Leo kichapo heavy.
Timu ya kikapu ya Dar City inaendelea kufanya vyema huko Pretoria Afrika kusini katika mashindano ya kikapu Afrika Ukanda wa Kalahari.
Timu hiyo imeshinda mchezo wake wa pili mfululizo kwa Kuifunga timu ya kikapu ya Nairobi baada ya kuifunga timu ya Johannesburg.
Tunaitakia kila la heri katika michezo yake mitatu iliyobaki ili iweze kusonga mbele.
View: https://youtu.be/SzaxD01QmIo?is=et_Af5vR31qz3TFT
View: https://youtu.be/GvqvUX9eUhM?si=Ggfb62P3UVElVJ0-