Tufungue mkuuMradi wa watu huo, kaa mbali kabisa
Wanasiasa wakijiingiza tu inaanza kuchezea vichaNadhani Jk aliwatembelea leo.
Wajiandae kupoteza.......
ππππLeo kichapo heavy.
UpumbavyuTimu ya kikapu ya Dar City inaendelea kufanya vyema huko Pretoria Afrika kusini katika mashindano ya kikapu Afrika Ukanda wa Kalahari.
Timu hiyo imeshinda mchezo wake wa pili mfululizo kwa Kuifunga timu ya kikapu ya Nairobi baada ya kuifunga timu ya Johannesburg.
Tunaitakia kila la heri katika michezo yake mitatu iliyobaki ili iweze kusonga mbele.
View: https://youtu.be/SzaxD01QmIo?is=et_Af5vR31qz3TFT
View: https://youtu.be/GvqvUX9eUhM?si=Ggfb62P3UVElVJ0-