Mmeona sasa utofauti kati ya Uwajibikaji wa Wazungu na Waafrika? Kwetu Rais mpaka afie madarani vinginevyo hatoki!

Wametokana na muunganiko wa Chromosome zipi hao Wazungu sio X na Y?
Wameanguka kutoka anga ya mbali, wakaanza kuzaliana na binadamu waliowakuta maeneo mbalimbali.. ndio maana kila siku wanapambana kurusha vyombo kwenda anga ya mbali maana huko ndiko asili yao.
 
Wameanguka kutoka anga ya mbali, wakaanza kuzaliana na binadamu waliowakuta maeneo mbalimbali.. ndio maana kila siku wanapambana kurusha vyombo kwenda anga ya mbali maana huko ndiko asili yao.
Ndio maana walikua wanawakata vichwa na kuondoka navyo
 
Sasa hivi wanaishi Wapi Hawa huko Marekani au wamehamia pembezoni mwa Marekani km Wazaramo wanavyoikimbia Dar?
Pembezoni mwa Marekani ndiyo wapi? Mexico na Canada?

Native Americans wamechanganyika kwenye Wamarekani wengi wa sasa. Watu wengi mnaowaita weusi na wazungu wamechanganyika na Native Americans.

Ndiyo maana nikawaambia hata hii dhana ya "wazungu" ni ya kisiasa zaidi kuliko uhalisia.
 
Museveni ndio kwanza anapiga pushups katika sebule ya ikulu ya Uganda, Afrika tuna safari ndefu sana.
 
Ndio sasa hivi hao red indians wamekimbilia Wapi?
Native Americans wamechanganyika kwenye Wamarekani wengi wa sasa.

Marekani watu wengi mnaowaita weusi, Latin na wazungu wamechanganyika na Native Americans. Ukiwapima DNA unakuta wanaoitwa weusi na wqzungu wengi sana wamechanganyika na Native Americans.

Ndiyo maana nikawaambia hata hii dhana ya "wazungu" ni ya kisiasa zaidi kuliko uhalisia.
 
Kwa hio red indians wamepotelea humo? Yule muigizaji the Rocky ni mtu wa Jamii hio na inaonekana red indians wameelekea upande wa Mexico
 
JPM yupo kaburini huu mwaka wa tatu sasa, ni aibu kwa wewe unayeonekana ni kijana kumshambulia Marehemu, chunga sana Mungu huwatetea wasioweza kujitetea epuka hizi tabia za kudhani kuwa shida zako zimeletwa na mwingine na kibaya zaidi ni marehemu aliyekwishazikwa.

JPM alifufua shirika la ndege linalotamba barani Afrika kwa sasa, kajenga SGR hii inayowapeleka maelfu ya mashabiki wa Simba Morogoro kuzindua jezi mpya za msimu wa ligi kuu.

Kule Mwanza anajenga kivuko cha kisasa cha Busisi, alijenga daraja jipya pale Salendar Bridge kafanya mengi sana ya maana kwa Tanzania ya kesho na miaka mingi ijayo, unapomshambulia na uwe na hoja nzito sio huu udaku wa kutungwa baada ya kushiba chai na chapati.
 
Kwa hio red indians wamepotelea humo? Yule muigizaji the Rocky ni mtu wa Jamii hio na inaonekana red indians wameelekea upande wa Mexico
The Rock si Native American, yule mama yake ni mtu wa Samoa.

Hata huko Mexico hao Native Americans (hawaitwi Red Indians tena, that name is offensive) wamechanganyika sana na watu kutoka Spain. The same story.
 
Ajira ikawa zero.

Ongesa na hili
 
Kwenye hiyo kitu laana mimi simo
 
Faida za demokrasia wanaziona hao wazungu sisi tunafuata tu mkumboi.
 
The Rock si Native American, yule mama yake ni mtu wa Samoa.

Hata huko Mexico hao Native Americans (hawaitwi Red Indians tena, that name is offensive) wamechanganyika sana na watu kutoka Spain. The same story.
Ndio hivyo ni mchanganyo Ila anafanania zaidi na hao red indians ambao sasa hivi wengi hawaonekani
 
Ndio hivyo ni mchanganyo Ila anafanania zaidi na hao red indians ambao sasa hivi wengi hawaonekani
Kufanana si kuwa. Wanaitwa Native Americans, hawaitwi Red Indians tena siku hizi. Ukiwaita Red Indians ni sawa na kuwaita watu weusi Niggers, ni jina lililopitwa na wakati na liko offensive.
 
Kufanana si kuwa. Wanaitwa Native Americans, hawaitwi Red Indians tena siku hizi. Ukiwaita Red Indians ni sawa na kuwaita watu weusi Niggers, ni jina lililopitwa na wakati na liko offensive.
Hapo sawa nimekuelewa vizuri sasa kwa hio native wenyewe sasa hivi hawapo wamebakiza machotara matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…