Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Alikuwa hana kazi wakati wa JPM na sasa anayo na kwake hiyo ni sababu ya kumlaumu hayati JPM na kuja na uzi wa kumshusha thamani.Shida ya Biden ni afya imegoma kuendana na nia yake.tuludi kidogo kwenye fikra,tatizo sio kukaa madarakani muda mrefu,kama unasimamia wajibu wa wananchi wako hiyo hata ufie hapo sio tatzo.
Mwandishi mmoja wa UK alimuuliza mugabe,nilini utatoka madarakani nae akamjibu"KWANZA KAMUULIZE MALIKIA WENU NILINI ATAACHIA MADARAKA YAKE".
Tanbua hata kule UK wanako tumia kigezo cha democracy kwa kuichokonoa afrika,kwa maskahi yao.pia kuna rain wa UK hawataki utawala wa kifalme kwani inanifaisha familia moja.
Nikupeleke NChi ya BRUNEI nchi hyo inautawala wa kifalme,mfalme ndio anamamlaka makubwa nchini humo.raia wa nchi hyo hawalipi kodi na wasio na ajira seeikali inajukumu la kuwatunza.sasa wewe Stoke huko ukawashawish rain wa brunei wapinge huo utawala,[hawatakuelewa]
Hajui kuwa maamuzi ya JPM ya wakati ule yalilenga kuigusa kesho yake yeye na wadogo zake.