Mmeona sasa utofauti kati ya Uwajibikaji wa Wazungu na Waafrika? Kwetu Rais mpaka afie madarani vinginevyo hatoki!

Sjui ni mm tu ndio nakuona unashida ya kufikir na kuwa na uelewa, kwa haraka haraka tu ww ni mwabudu Wazungu hakuna kingne.

Biden kila mmoja aliiona hali yake ww ulitegemea ang'ang'anie madarakani kwa lipi sasa.
 
Ajira ikawa zero.


Ongesa na hili
Opportunity cost ni kipengele cha kiuchumi. Tulikuwa tuchague moja reli ya SGR ijengwe kuanzia Dar mpaka Kigoma kwa trilioni 15 au tule bata tukiongeza mishahara.

Tufufue shirika la ndege linalofanya biashara kubwa hivi sasa au tule bata za maisha ya mijini.
 
Kula bata ndo best choice. Maisha yenyewe mafupi haya
 
Sasa sgr na ndege hizo zokiwepo halafu mnanuka umaskini vinakusaidia nini. Angalia sudani kila kitu kipo lakini wakimbizi kila siku
Umaskini sio sawa na kufagia nyumba yako baada ya kuwa imejaa mavumbi. Ni michakato ya muda mrefu. Wewe unamponda hayati JPM kwa akili hizi za utoto na ujana!!.

Haya ni maongezi ya madalali wa Mwenge na mafundi wa magari wa gereji za Dar. Very Shallow argument.
 
My arguments always carry water.
 
Mfano mzuri pia ni mbowe hataki kuachia Chadema.
 
That is how they mislead you and make your mind a limited source of taking in new ideas.

Think outside your box it will help you.
I don't have a box man. Stop insulting me. The heard and box cannot be used interchangeably to me. May be you
 
Kwenu wapi?
 
I don't have a box man. Stop insulting me. The heard and box cannot be used interchangeably to me. May be you
Don't try to undermine the late John Magufuli he did a lot of patriotic decisions for Tanzania of today and generations to come.
 
Umekaa zako Dar unadhani Tanzania na mahitaji yake yote yapo ndani ya mipaka ya jiji hili.

Tanua ubongo wako na tembea huko bara uone mabadiliko yanavyozidi kuletwa kwa kasi kila mkoa.
 

Mbona na yeye alikuwa kang'ang'ana, sema jamaa wana freedom of speech ndo kilichowasaidia. Vinginevyo babu alikuwa kagoma kutoka. Alivyoona watu wamekuwa wengi ndo akaona isiwe tabu.
 
Don't try to undermine the late John Magufuli he did a lot of patriotic decisions for Tanzania of today and generations to come.
I cannot stop undermining the petty dictator who banned almost three quarters of all domestic and foreign investments causing massive unemployment to youths especially me. But currently i have secured again the job under this leadership which prioritize human welfare first
 
The so called dictator was not there to fulfill anybody's personal dreams he was elected to implement bigger policies and he did that with accuracy, dedication and commitment.

There is no leader who is elected to serve our personal goals, he fought his fight to the best of his abilities and we are forever thankful for his patriotic soul.
 
Shida ya Biden ni afya imegoma kuendana na nia yake.tuludi kidogo kwenye fikra,tatizo sio kukaa madarakani muda mrefu,kama unasimamia wajibu wa wananchi wako hiyo hata ufie hapo sio tatzo.

Mwandishi mmoja wa UK alimuuliza mugabe,nilini utatoka madarakani nae akamjibu"KWANZA KAMUULIZE MALIKIA WENU NILINI ATAACHIA MADARAKA YAKE".
Tambua hata kule UK wanako tumia kigezo cha democracy kwa kuichokonoa afrika,kwa maslahi yao.pia kuna raia wa UK hawataki utawala wa kifalme kwani inanufaisha familia moja.

Nikupeleke NChi ya BRUNEI nchi hyo inautawala wa kifalme,mfalme ndio anamamlaka makubwa nchini humo.raia wa nchi hyo hawalipi kodi na wasio na ajira serikali inajukumu la kuwatunza.sasa wewe nenda huko ukawashawish raia wa brunei wapinge huo utawala,[hawatakuelewa]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…