Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Nisaidie hiyo ya telegram
Search chatgpt itakuja, anza kuuliza maswali
Nimeanza na GPT-3.5 ( kulia)

Then, Nikahamia GPT-4 (upande wa kulia) | Hapo nikaweka search for "GPT-3 Telegram bot" or a similar term on Google or within the Telegram app.

Matokeo | kama ionekanvyo upande wa kulia.
- Nikafungua link iliyopendekezwa | ChatGPT Telegram bot

Then nikahamia Telegram kwa kufuata | ChatGPT

Then

Hapo mwishoni kuna link nyingine nkaingia

Then nikafnya Jaribio moja.


Hitimisho.
- Ili kutumia ChatGPT Telegram bot | Ingia hapa ChatGPT


Code:
https://t.me/chatgpt_trailbot

 
Tuambie vile tunavyoweza kuidownload kuitumia na kama ni free na jinsi app yake ilivyo ina muonekano gani ili tusichanganye

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Tuambie vile tunavyoweza kuidownload kuitumia na kama ni free na jinsi app yake ilivyo ina muonekano gani ili tusichanganye

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ingia Chrome andika ChatGPT. Chagua ile iliyoandikwa openai.com then ingia, ukishaingia kwenye hiyo openai.com tap walipoandika Try ChatGPT, kisha utaverify kuwa wewe sio Robot itakuletea option ya Login au Sign up.
Chagua Signup, baada ya hapo itakupa list ya options za kutumia kusign up. Usijisumbue wewe tap walipoandika Sign up with Google, then ukifanya hivyo tu umeshamaliza kazi, itafunguka utaanza kuiuliza maswali kwa lugha yoyote
 
Asante mkuu ngoja niingie

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…