Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Huwa Nawaza Hao Jamaa Waliotengeneza Hiyo Kitu Wangekuwa Wanashinda Kwa Mwamposa Kusubiri Miujiza Sijui Ingekuwaje Leo.
Nawewe usieshinda kwa Mwamposa umegundua platform ipi mpaka leo,naona Facebook, Instagram, WhatsApp,Google,na sasa chat GPT4 zote hizo ni zimegunduliwa na watu wa mataifa yaliyoendelea,wewe mwenzetu sijui umegundua nini mpaka sasa.
 
Hii kitu nimekuwa nikicheza nayo kama week sasa, kwa kweli hii kitu iko vizuri sana na nimeipenda sana, nimeijaribu vitu vingi, niliiambia iandikie love letter to my x girlfriend, nikaiuliza iniambie kuhusu Julius Nyerere na inionyeshe speech yake ambayo ni muhimu sana.

Nikaiambie inifundishe calculus, nikaiambia iniandikie thank you note to my co worker, nikaiuliza kama inajua kiswahili, nikaimbia iandike short essay kumaliza umaskini Tanzania etc kwa kweli I was impressed na majibu yake na kila kitu chake, ni kama unaongea na binadamu mwenzako ambaye ni genius na ana majibu yote, ijaribuni then muweke matokeo hapa.
Afu mbona naona watu wengi mnachanganya maada humu. chatGPT haijatengenezwa na Microsoft, imetengenezwa na moja kati ya mfanyakazi wa Microsoft ambae ana kampuni yake tofauti na Microsoft

chatGPT gpt siyo product ya Microsoft ni product ya kampuni ya OpenAi
 
Afu mbona naona watu wengi mnachanganya maada humu. chatGPT haijatengenezwa na Microsoft, imetengenezwa na moja kati ya mfanyakazi wa Microsoft ambae ana kampuni yake tofauti na Microsoft

chatGPT gpt siyo product ya Microsoft ni product ya kampuni ya OpenAi
OpenAI ndio creator wa GPT 4 , sio wafanyakazi wa microsoft ni kampuni kubwa tuu ina thousands of Engineers pia, microsoft ni investor anamiliki 51% mpaka pesa yake aliyo invest OpenAI irudi, sasa wameachia API na plugs kwa developers, nina uhakika vitu vizuri vitaanza kuingia sokoni, kampuni nyingi zitaanza kuzaliwa soon
 
Umechanganya mambo. Training data ni za 2021 kurudi nyuma ila app ni ya March 14 hata hiyo screenshot ukiangalia utaona hapo. Kilichoongezeka ni ufanisi na speed. Majibu ya sasa yanakuwa more accurate.

Kila mtu saivi anatumia version hiyo ya 14 march ila wapo wana access gpt4 na wapo ambao hawa access mana gpt4 ni ni kwa plus users (yaani wanaolipia) ama tena utumie GPT-4 ya API ambayo offcourse pia ni ya subscription sio free japo kunakuwa na free credits mwanzoni.
Shukrani

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau?
My chat gpt account haina tena access siku ya tatu. Je nini shida? Je imefungwa kwa muda.
Ilishaanza ku ni raibu kwa muda.
Au nilipewa trial access. Nyie mbaipata? Au wahuni wamehack my account?
 
Je imefungwa kwa muda.
Inafanya kazi.
Nyie mbaipata?
Ndio naipata
=
Tumia hii link:
Code:
https://poe.com/
1680270964409.png
 
Back
Top Bottom