Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Kazi kadhaa zitapotea, mpya zitaibuka ila overall ita ongeza productivity kwenye sekta nyingi.
Haiwezi ku replace Coding au Programming ila kwa kampuni za IT ambazo zilikua zinahitaji Junior developers kwa ajiri ya kuwa saidia Seniors huo uhitaji utapungua, cause Seniors developers watahitaji Hizo Generative AI kuzipa maelekezo badala ya Junior devs
Halaf watamtupia nani lawama ?? Hao senious wa kibongo humo maofisn wanavyopenda kulaumu!!!!😁😁 lazima waweepo watu wa kuwalaumu kwenye mambo flan 😂😂
 
Jakuna insult yoyote ile, tukienda hivyo mwisho utasema ni insult kuwaandikia watu kwa kutumia computer badala ya kuandika kwa kalamu ya mkono

Kwahiyo unaona sawa watu waandikw vitabu kwa kutumia gpt?
 
Kwahiyo unaona sawa watu waandikw vitabu kwa kutumia gpt?
Ndiyo matumizi ya teknology hayo. Ni sawa na ukianza kulalamika watu kwenda Ulaya kwa ndege badala ya meli au farasi.
Ukiona Teknology ina take over ulichokuwa unakifanya, that means ni wakati wa wewe kufanya mapya.
Sasa hivi tuna electronic database badala ya vyumba vya kutunzia mafile.
Badala ya wewe sasa hivi kuandika vitabu, ni wakati wa watu wafundishwe kutum8a ChaGPT ili waweze kujitengenezea kitabu kwa namna waitakayo
 
Subiri itakuja na matumizi makubwa kuliko hayo, makampuni mengi yataibuka kutokana na hii technology, kama internet, GPS, broadband etc ilisadia makampuni kama Google, facebook, uber etc kuzaliwa basi hii nayo kuna watu watapata namna ya kuitumia na makampuni mengi yatazaliwa, hata wewe unaweza kuanza kufikiria namna ya kuitumia hii technology ukaja na kampuni kubwa kuliko Google...don't underestimate yourself, kazi kwako
Haiwezekani kwetu bana. Kwa hii hii mindset ya kunya porini ambapo reli ya umeme ya kisasa inapopitia?
 
Wiki hii imekuwa na gumzo sana kwenye ulimwengu wa AI. HIi ni baada ya taasisi ya OPENAI kuachia rasmi toleo la nne la chat GPT 4.

CHAT GPT ni nini?
Gumzo GPT ni kielelezo cha lugha ya kijasusi kilichotengenezwa na Open AI ambayo hutumia mbinu za mashine za kujifunza ili kutoa majibu kwa maswali au maoni katika lugha asilia.

Gumzo hili linaweza kutoa majibu madhubuti na yanayohusiana kimuktadha kulingana na uchanganuzi wa idadi kubwa ya data ya maandishi. GPT Chat inaweza kutumika katika aina mbalimbali za programu kama vile chatbots, wasaidizi pepe,
mifumo ya mapendekezo, na zaidi.

Je CHAT GPT inaweza kufanya nini?
Chat GPT ina uwezo wa kujibu chochote kwa lugha yoyote ikiwemo kiswahili.

Kuanzia maswali magumu kama ya computer programming etc.

Uchambuzi wa vitabu kwa lugha ya kiswahili.

Ushauri?
Kufanya uchambuzi wa insha etc.

Kujibu maswali ya mitihani, assignment etc.

Ujio wa CHAT GPT 4 umekuwa ni tishio kwa kampuni ya Google kwa sababu uwezo wake ni mara 100 wa google hasa baada ya microsoft kuwekeza katika open AI na hivyo kuwa mtumiaji mkuu katika bidhaa zake kama search engine yake ya bing ambapo utapata bing AI powered by chat gpt 4 ambapo utakuwa unasearch kwa mfumo mpya kabisa wa conversation.

Lakini pia katika Bing AI utaweza ku search picha by word, unaandika unachokitaka kinakuja kwa picha.
Niulize chochote kuhusu ARTIFICIAL INTELLIGENCE na mimi nitakujibu .

Kujifunza zaidi kuhusu CHAT GPT INGIA HAPA kwa thread ya ChatGPT
Ifahamu ChatGPT

CREDIT

Screenshot_20230327-194545.jpg
 
Huyu ndie Chat Gpt 4 anatoa majibu ya uongo.. nimemuuliza anitajie mkuu wa mkoa wa Mwanza...anasema eti mkuu wa mkoa wa Mwanza ni Paul Makonda!? " Chat Gpt bado inahitaji maboresho makubwa saana! Chat gpt is lieing!!!
Hako kadude kana element za uchawa.......hehe rais wa mwanza
 
Back
Top Bottom