Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
No, google bard utaionaBard ni website au ni app ya kulipia 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, google bard utaionaBard ni website au ni app ya kulipia 🤔
Thanks sana kiongoziKWANZA:
1. Learn marketing.
2. Learn machine learning.
3. Compile social data.
4. Train a custom model.
5. Use the model to offer useful services.
Mfano tourism itafaidika sana kupitia AI cha muhimu ni kuwa na vitendea kazi na ujuzi wa kutrain a custom model.
Ipo hivi mfano ukitrain custom model kwa kuifeed text data za kiswahili basi nayenyewe itaweza kufanya mambo mengi na kutoa majibu mengi kwa kiswahili. Ukii train Kijerumani same applies, etc etc.
Tourism inahitaji sana tools za ku interact mfano mtalii kutoka Sweden hajui hata Kingereza na anapoandaa travel plan yake anategemea sana TripAdvisor ya kisweden. Same applies kwa maraifa mengi ya Ulaya.
So unaweza kuja na AI based tour guide web and mobile app. Ikawa na lugha labda nane hivi.
Monetization strategy lazima uwe na tour agents kadhaa ambao utasaidia kuwapa wateja na wa subscribe kwenye mfumo wako.
Pia unaweza kuwa na online tutor wa lugha zote duniani kupitia AI. Ujuzi na uwezo wako wa kukusanya data (be it text or numbers) na kutrain custom model ndo utadetermine your success.
ROI - Return on investmentView attachment 2558617
Nilikuwa naandaa article ya weekend kakakosea, good thing huwa natumia GPT kuandaa template tu ila sio kila kitu, kwanza ni insult kuwaandikia watu newsletter kwa kutumia AI considering wanalipia
Jakuna insult yoyote ile, tukienda hivyo mwisho utasema ni insult kuwaandikia watu kwa kutumia computer badala ya kuandika kwa kalamu ya mkonoView attachment 2558617
Nilikuwa naandaa article ya weekend kakakosea, good thing huwa natumia GPT kuandaa template tu ila sio kila kitu, kwanza ni insult kuwaandikia watu newsletter kwa kutumia AI considering wanalipia
Video tutorial kwa ChatGPT? Unless ni GPT3.5 unaongelea sio ChatGPTLeo nimejaribu chat jp ni nyoko, inaweza kutengeneza videeo tutorial pia kwa topic yoyote ile
Hii kitu ina na ita tengeneza wajinga wengi.Hii kitu nimekuwa nikicheza nayo kama week sasa, kwa kweli hii kitu iko vizuri sana na nimeipenda sana, nimeijaribu vitu vingi, niliiambia iandikie love letter to my x girlfriend, nikaiuliza iniambie kuhusu Julius Nyerere na inionyeshe speech yake ambayo ni muhimu sana.
Nikaiambie inifundishe calculus, nikaiambia iniandikie thank you note to my co worker, nikaiuliza kama inajua kiswahili, nikaimbia iandike short essay kumaliza umaskini Tanzania etc kwa kweli I was impressed na majibu yake na kila kitu chake, ni kama unaongea na binadamu mwenzako ambaye ni genius na ana majibu yote, ijaribuni then muweke matokeo hapa.
Chatbot is the biggest new thing in tech since the advent of the iPhoneHii kitu ni noma ,teknolojia imekua sana.
Inategemea na data ilizomeza. Sio kila kitu inapatia. Cheki hii[emoji116]Udhaifu wa hii haitoa matukio ya kuanzia 2022,ukiiambia tetemeko la ardhi la Syria na uturuki haijui,imefail
Bado ni dhaifu mno iulize raisi wa sasa wa Kenya ni nani ??,kama haijakuwambia uhuru Kenyatta ,Bado ni dhaifu na taarifa zake sio za kuanininika Kwa asilimia 75Inategemea na data ilizomeza. Sio kila kitu inapatia. Cheki hii[emoji116]View attachment 2562634
Nilichogundua kwa ChatGPT ni kuwa unaweza kuiona haikupi majibu sahihi kutokana na jinsi ulivyo uliza swali lako.
Mfano kuna Project moja nilikuwa nafanya wakati huo Chatgpt ndo imeanza kuwa gunzo, Moja kwa moja nikaona ngoja niijaribu.
Nilianza kuiomba inisaidie kuandaa business plan na wakati huo nlikuwa sija feed data yoyote kuhusu hiyo project, Majibu ni kwamba ilishindwa. Nikaona isiwe shida nikaanza na kuandaa website kwa sababu nlikuwa najua nini nakifanya. ChatGPT ilinisaidia kwa 99% kwenye ile website, kuanzia content mpangilio na kila kitu. Baada ya kumaliza nikarudia tena swali lile la mwanzao kuniandikia Business Plan, Chakushangaza awamu hii ilinipa kile kitu nilicho kuwa nataka, iliniandikia Business plan nzuri na ya kuvutia kitu imeshindwa ni issue ya Financial projection kitu ambacho nilishafanya research hivyo data ninazo ni ku feed tu. Hivyo hivyo nilifanya kwa Company profile na Pitch Desk na nimepata majibu ya kushangaza na kuvutia.
Kwa maana hiyo ChatGPT inakuja kuwa msaada mkubwa kwa kurahisisha mambo na unachotakiwa kufanya ili kupata majibu mazuri jaribu kuelezea jambo lako vizuri kama nikitu kipya hakika utafurahi.
Hapa nakubishia mazima kaka...
Ukumbuke huyo robort hajitumi pekeake mpaka awe controled na human mind.They can settle out a day without nothing if human does nothing to it.
Tuma screenshot ulipofikia Twin Tower
Swezi kuiponda Techologia maana Ni uwanja Mpana sana Ila ukakasi uliopo kuhusu hii chat...Ni iko published Sana Ila bado tofauti sio kubwa na ggl so bado kwa Sasa Ila kwa mbeleni cjui.What a need to search in web while Chatgpt can search for you, Don't you think you will waste your tme for nothing?
Robot can scan milions of website and give you a result within a second.
Yani utafute wewe taarifa za kuunga unga mtandaoni halafu ziwe sahihi kushinda robot linaloweza kusoma website zote za mtandaoni, be serioud brother! Wewe mbongo uwakosoe Microsoft kitu walichounda kwa akili kubwa.