Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Swezi kuiponda Techologia maana Ni uwanja Mpana sana Ila ukakasi uliopo kuhusu hii chat...Ni iko published Sana Ila bado tofauti sio kubwa na ggl so bado kwa Sasa Ila kwa mbeleni cjui.
Iko more advance kuliko google, ChatGPT ina uwezo wa kukuandikia kitu chenye mashiko kutoka vyanzo tofauti tofauti. ChatGPT ina uwezo wa kukusikiliza unataka nini, ikakuambia imekuelewaje, ukaona haijakuelewa vizuri ukailewesha. Em iambie google ikuandikie wimbo wa kumsifu Mama SLH kama itaweza ila ChatGPT itafanya. ChatGPT is better than google. Sema Google ni search engine ila ChatGPT ni chatbot yenye akili bandia
 
Use ChatGPT at ***** Stack via OpenAI, everything has been taken care, you just need to start using it at

What is ChatGPT?
ChatGPT is an artificial intelligence chatbot developed by OpenAI and launched in November 2022. It is built on top of OpenAI's GPT-3.5 and GPT-4 families of large language models and has been fine-tuned using both supervised and reinforcement learning.

ChatGPT allows you to have human-like conversations and a lot more. The language model can answer pretty any question and assist you with tasks like learning, transcribing audios, converting text to audios, creating videos and images, composing emails, essays, and writing codes, reports, and even papers!

Let's see an example response below generated by ChatGPT:

Write a sermon for me, I want to share it with JamiiForums members, some of them no longer go to church, they have even forgotten their church doors.

My dear friends,

I come before you today to share a message of hope, faith, and redemption. It is a message I believe we all need to hear, especially in these times where the world seems uncertain and we are all facing our own personal struggles.

It is easy to get lost in the chaos of life, to forget our faith and the blessings that come with it. But I am here to remind you that no matter how far you've strayed, the door to the church and the love of God are always open to you.

We all have our own reasons for drifting away from the church. It could be disappointment, doubt, or simply the busyness of life. But I urge you to remember that the church is not a building, it is a community of believers who come together to support and encourage one another on our spiritual journeys.

We all need a place to go where we know we will be accepted and loved, no matter what we have done or where we have been. The church is that place, and its door is always open to us.

So, my dear friends, I ask you to remember the goodness of God and the blessings that come with being part of a community of believers. I encourage you to walk through the doors of your church, even if it's been a long time.

Let us join together in faith and love, for the church is a place of healing, growth, and hope. Let us not forget the power that comes with being part of a community that supports and uplifts us in our journey of faith.

May the peace and love of God be with you always. Amen.
 
Bado ni dhaifu mno iulize raisi wa sasa wa Kenya ni nani ??,kama haijakuwambia uhuru Kenyatta ,Bado ni dhaifu na taarifa zake sio za kuanininika Kwa asilimia 75

Inategemea data zilizokuwa-Fed toka kwenye servar, ina maana ruto ameingia madarakani muda si mrefu hakuna data nyingi za kutosha, pia AI zinaenda na version soon utaziona wakiendelea kuupdate
 
Vile mwendakuzimu amefurahia bandiko lako kutokea huko kuzimu👇😁😁😁
downloadfile-4(1).jpg
 
Udhaifu wa hii haitoa matukio ya kuanzia 2022,ukiiambia tetemeko la ardhi la Syria na uturuki haijui,imefail
Sio haijui kwa sababu ni free na ipo katika research ila ikizinduliwa rasmi kutakuwa na kulipia ambayo itakuwa na matukio current
 
Haiwezi ila itarahisisha mambo kwenda faster. Hata calculator watu walidhani itaua mathematicians
Yeah, bahati mbaya hii sio Calculator, ni kitu kingine ambacho kinafanya kazi ila hatujui kinafanyeje.

Kazi nyingi zinaenda kupotea, kama WALIMU au hata Entry level developers na hizo ni chache kati ya 100
 
Is just if else,while,for each statement.
Hakuna ugunduzi mkubwa.
Kazi kubwa walioifanya Microsoft ni kukusanya data base ya kila kitu na kuziundia arguments. Hio system itakuwa na ma server ya kutosha.
Hata sisi bongo kama tuna mtaji wa kukusanya data tunaunda hio AI
AI sio bunch of conditional statements kama ulivyo dai hapo juu, na wala haina hard coded responses. Jifunze kuhusu AI kwanza
 
Yeah, bahati mbaya hii sio Calculator, ni kitu kingine ambacho kinafanya kazi ila hatujui kinafanyeje.

Kazi nyingi zinaenda kupotea, kama WALIMU au hata Entry level developers na hizo ni chache kati ya 100
Kazi hazitapotea ila itazalisha ajira nyingine. Hata computer watu waliogopa itapoteza ajira za watu, hata calculator kama nilivyosema maana kwa wakati huo calculator ilikuwa ni invention kubwa kiasi kwamba watu wakahisi mathematicians hawana kazi.
Chat GPT itaua ajira na kutengeneza ajira zile zile zilizo more advanced. Nimeona analysis kuwa itakuja kuua coders ila itatengeneza wataalam wakufikiria approach na vitu unique ikiwemo apps na softwares halafu kuvifeed kwenye chat gpt like bots ili kuzalisha bidhaa.
 
Inategemea data zilizokuwa-Fed toka kwenye servar, ina maana ruto ameingia madarakani muda si mrefu hakuna data nyingi za kutosha, pia AI zinaenda na version soon utaziona wakiendelea kuupdate
Ila Bado ni dhaifu mno,usiamini Kwa asilimia 75, kwasababu kunawakati haitoi majibu yaliyosahihi
 
Kazi hazitapotea ila itazalisha ajira nyingine. Hata computer watu waliogopa itapoteza ajira za watu, hata calculator kama nilivyosema maana kwa wakati huo calculator ilikuwa ni invention kubwa kiasi kwamba watu wakahisi mathematicians hawana kazi.
Chat GPT itaua ajira na kutengeneza ajira zile zile zilizo more advanced. Nimeona analysis kuwa itakuja kuua coders ila itatengeneza wataalam wakufikiria approach na vitu unique ikiwemo apps na softwares halafu kuvifeed kwenye chat gpt like bots ili kuzalisha bidhaa.
Kazi kadhaa zitapotea, mpya zitaibuka ila overall ita ongeza productivity kwenye sekta nyingi.
Haiwezi ku replace Coding au Programming ila kwa kampuni za IT ambazo zilikua zinahitaji Junior developers kwa ajiri ya kuwa saidia Seniors huo uhitaji utapungua, cause Seniors developers watahitaji Hizo Generative AI kuzipa maelekezo badala ya Junior devs
 
Haiwezi ila itarahisisha mambo kwenda faster. Hata calculator watu walidhani itaua mathematicians
Nasimama pamoja na wewe..Haitakua na impact kihivyoo yan..kawaida tuu
 
Back
Top Bottom