Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Hiyo Chat GPT ni kwa wavivu na watoto. Watu wengi hawajui kutumia search engines vizuri.
Kutumia search engine ni uvivu na utoto vilevile. Watu wanatumia TV kuangalia habari lakini hapana kwangu mimi kutumia TV ili kupata news ni utoto na uvivu vilevile, watu wanaojielewa wanatumia magazeti. Mwingine naye atasema magazeti ni uvivu na utoto bali atatumia face to face.

Unaona hiyo endless circle of nonsense biased preferences? Point ni kwamba hakuna njia "sahihi" kupata information bali zote ni sahihi tofauti ni versions na generations tu. na cha msingi ni ChatGPT ni Artificial Intelligence na sio Search Engine, ina matumizi tofauti kabisa na very diverse na intelligent. Watanzania tu wanashindwa kuitumia kiumakini na kufungua its full potential kama kuuliza maswali ya kitoto kama haya.
Kuna maswali ambayo hauwezi kuyapata kwenye search engine kutokana na aina ya uulizwaji wake sababu search engine ni more direct na majibu inayokupa ni ya watu wengine kutoka kwenye blogs, social medias na forums kama maana ya jina lake "SEARCH ENGINE". Lakini ChatGPT inakupa generated answer ambalo lipo perfected kutokana na swali lako, ni full package answer sio half meat na recommendations.

Mfano wa maswali ambayo huwezi kuuliza search engine. "I was thinking about starting a social media application, what can I do to make it successfully and compete in the social media market?"

Now chukua swali hilo nenda kaulize your best search engine bila shaka ni Google.
This is the answer:
5 Tips to Successful Social Media Marketing
  1. Create a Strategy. Each platform needs its strategy. ...
  2. Be Consistent. While posting consistency depends on the platform, posting content regularly is always a good rule of thumb to follow. ...
  3. Create Engaging & Interesting Content. ...
  4. Engagement. ...
  5. Track and Analyze Metrics.
Kwanza imenipa irrelevant answer, kiblog post chenye same header na some silly recommendations. Now that's the definition of lazy, short and simple that It's stupid.

Now chukua swali hilohilo nenda kaiulize ChatGPT. "I was thinking about starting a social media application, what can I do to make it successfully and compete in the social media market?" sent. holly damn! hautoamini jibu nililopata, imenielezea ugumu wa kuendesha social media, uwezekano wa kufanikiwa, nini cha kufanya kuanzia kwenye marketing strategy mpaka ugumu wa kucompete na established social media giants ikataja na mifano kama instagram, tik tok na twitter, ugumu na uwezekano watu kubadilisha tabia za watu wanaoutimia mitandao hiyo na kuanza kutumia social media yangu na mostly important ikanielezea na jinsi ya kuingiza profit. na bado unauwezo wa kudodosa kwenye point ilizotoa na ikusaide kueleborate in simple English nk. Ni zaidi ya kuongea na binadamu ambaye ni expert kwenye kila kitu, vilevile kuna complex topics ambazo ina uwezo wa kukufafanulia point kwa point na kama hauelewi unaiambia ikuelekeze in simple terms, it is fukking mind bending technology to ever happened in centuries.

Hell that's not enough, chatGPT imenisaidia kuandika code kwa kutoa maelezo tu, sio mimi tu bali developers wengi wanaitumia hauhitaji kusearch google for irrelavant answers au stackoverflow na quora hakuna kupoteza muda ni straight to the point na time saver. Trust me kama utumiaji mzuri wa Search Engine basi naujua mimi na haucome close na kutumia chatGPT, every real and pro search engine user knows this.
Kuna watu wanaitumia kuandika business strategies, business plans na many kind of project nk.
Jordan Peterson aliichalenge kwa kuiambia iandike essay on English Literaute na ikafanya in few seconds. Mimi binafsi niliambia iniandikie essay on human life existence in 500 and 2000 worlds ikagenerate an answer in few seconds, it's unbeliavable.

Now that is some super natural, futuristic, next generation technology, kusema kutumia ChatGPT ni uvivu na utoto ni kujidharaurisha na kuonyesha jinsi gani uko naive kwenye mambo mengi hasa new technologies na maendeleo ya dunia, hawa ndio waafrica waliosema punda ni bora kuliko gari lakini leo wote mnaona fahari kutumia magari. it's nonsense at best. Kuliko kushusha wengine na kuwaita watoto na wavivu, wewe piga kimya alafu baki hapohapo.
 
Wandewa nyie mnapataje official page ya chartGPT Al maana nimeshindwa kujisajili kabisa mliofanikiwa mngetoa na mwanga basi
 
Kutumia search engine ni uvivu na utoto vilevile. Watu wanatumia TV kuangalia habari lakini hapana kwangu mimi kutumia TV ili kupata news ni utoto na uvivu vilevile, watu wanaojielewa wanatumia magazeti. Mwingine naye atasema magazeti ni uvivu na utoto bali atatumia face to face.

Unaona hiyo endless circle of nonsense biased preferences? Point ni kwamba hakuna njia "sahihi" kupata information bali zote ni sahihi tofauti ni versions tu. ChatGPT ni AI sio search engine, ina matumizi tofauti kabisa na very diverse na intelligent. Watanzania tu wanashindwa kuitumia kiumakini na kufungua its full potential, kuna maswali ambayo hauwezi kuyapata kwenye search engine kutokana na aina ya uulizwaji wake sababu search engine ni more direct na majibu inayokupa ni ya watu wengine kutoka kwenye blogs, social medias na forums kama maana ya jina lake "SEARCH ENGINE". Lakini ChatGPT inakupa generated answer ambalo lipo perfected kutokana na swali lako, ni full package answer sio half meat na recommendations.

Mfano wa maswali ambayo huwezi kuuliza search engine. "I was thinking about starting a social media application, what can I do to make it successfully and compete in the social media market?"

Now chukua swali hilo nenda kaulize your best search engine bila shaka ni Google.
This is the answer:
5 Tips to Successful Social Media Marketing
  1. Create a Strategy. Each platform needs its strategy. ...
  2. Be Consistent. While posting consistency depends on the platform, posting content regularly is always a good rule of thumb to follow. ...
  3. Create Engaging & Interesting Content. ...
  4. Engagement. ...
  5. Track and Analyze Metrics.
Kwanza imenipa irrelevant answer, kiblog post chenye same header na some silly recommendations. Now that's the definition of lazy, short and simple that It's stupid.

Now chukua swali hilohilo nenda kaiulize ChatGPT. "I was thinking about starting a social media application, what can I do to make it successfully and compete in the social media market?" sent. holly damn! hautoamini jibu nililopata, imenielezea ugumu wa kuendesha social media, uwezekano wa kufanikiwa, nini cha kufanya kuanzia kwenye marketing strategy mpaka ugumu wa kucompete na established social media giants ikataja na mifano kama instagram, tik tok na twitter, ugumu na uwezekano watu kubadilisha tabia kuanza kutumia social media yangu na mostly important ikanielezea na jinsi ya kuingiza profit. na bado unauwezo wa kudodosa kwenye point ilizotoa na ikusaide kueleborate in simple English na nk. Ni zaidi ya kuongea na binadamu, vilevile kuna complex topic ambazo ina uwezo wa kukufafanulia point kwa point kama hauelewi unaiambia ikuelekeze in simple terms, it is fukking mind bending technology to ever happened in centuries.

Hell that's not enough, chatGPT imenisaidia kuandika code kwa kutoa maelezo tu, sio mimi tu bali developers wengi wanaitumia hauhitaji kusearch google for irrelavant answers au stackoverflow na quora, hakuna kupoteza muda ni straight to the point na time saver. Trust me kama utumiaji mzuri wa Search Engine basi naujua mimi na haucome close na kutumia chatGPT, every real and pro search engine user knows this.
Kuna watu wanaitumia kuandika business strategies, business plans nk.
Jordan Peterson aliichalenge kwa kuiambia iandike essay on English Literaute na ikafanya in few seconds. Mimi binafsi niliambia iniandikie essay on human life existence in 500 and 2000 worlds ikagenerate an answer in few seconds, it's unbeliavable.

Now that is some super natural, futuristic, next generation technology, kusema kutumia ChatGPT ni uvivu na utoto ni kuonyesha jinsi gani uko naive na kujidharaurisha, it's nonsense at best. Kuliko kushusha wengine na kuwaita watoto na wavivu, wewe baki hapohapo.
Muungwana akielezwa jambo kabla ya kubisha zaidi huenda kujiridhisha zaidi. Nitafanya utafiti zaidi huenda sikuipa muda zaidi na pengine kwa sababu mimi ni old-fashioned hardcore learner ndiyo maana ilikua rahisi kuipuuza. Mimi si Google tips goer mzee. Sioni tabu kusoma volumes to gain an understanding kwa jambo dogo mpaka nijiridhishe. Search engine ni sehemu ndogo ya kunipa green light wapi pa kuanzia.
Ila kulingana na maelezo yako inaleta wepesi kwa akina sie hardcore learners, kwa dunia ya sasa nyezo za kuweka wepesi wa kukamilisha mambo na taarifa hupewa kipaumbele.
 
Huyu ndie Chat Gpt 4 anatoa majibu ya uongo.. nimemuuliza anitajie mkuu wa mkoa wa Mwanza...anasema eti mkuu wa mkoa wa Mwanza ni Paul Makonda!? " Chat Gpt bado inahitaji maboresho makubwa saana! Chat GPT is lieing!!!
View attachment 2568025
mbona unaisingizia
 

Attachments

  • Screenshot_20230328-000205_Chrome.jpg
    Screenshot_20230328-000205_Chrome.jpg
    72.1 KB · Views: 18
Huyu ndie Chat Gpt 4 anatoa majibu ya uongo.. nimemuuliza anitajie mkuu wa mkoa wa Mwanza...anasema eti mkuu wa mkoa wa Mwanza ni Paul Makonda!? " Chat Gpt bado inahitaji maboresho makubwa saana! Chat GPT is lieing!!!
View attachment 2568025
Sasa rafiki, mbona Hilo swali ulilo uliza wewe mwenyewe umelikosea , ukijaribu makosa output will be wrong,
 
Haiwezekani kwetu bana. Kwa hii hii mindset ya kunya porini ambapo reli ya umeme ya kisasa inapopitia?
Inawezekana kabisa, kuna vijana wengi wa kitanzania wamesoma na wamejaa industry zote za America, wapo kuanzia Google mpaka NASA, hawa hawajaletwa na serikali kama wale wa zamani waliokuwa wanakuja kusoma na kuondoka, wa sasa wameingia na hustles zao wenyewe na wengi bila hata school fees, wamepigika, wamefanikiwa na wanaijua America na capitalism vizuri, hata ukiwashusha hapo mjini bila senti tano watatoboa tuu
 
Halafu kitu kingine search engine ya Google bado huwezi linganisha na hiyo ya chat gpt.
Chat gpt kajulikana kupitia Google .
Google wameachia BARD AI.... ambayo ndo mshindani wa chat gpt?

Ila kwa chat GPT anaifunika google ka sasa kwa sababu walijipanga mda mrefu
 
Ndiyo matumizi ya teknology hayo. Ni sawa na ukianza kulalamika watu kwenda Ulaya kwa ndege badala ya meli au farasi.
Ukiona Teknology ina take over ulichokuwa unakifanya, that means ni wakati wa wewe kufanya mapya.
Sasa hivi tuna electronic database badala ya vyumba vya kutunzia mafile.
Badala ya wewe sasa hivi kuandika vitabu, ni wakati wa watu wafundishwe kutum8a ChaGPT ili waweze kujitengenezea kitabu kwa namna waitakayo

Mfano wako irrelevant, nachosema kwa sasa gpt inaweza kuaandaa template tu kwenye creative writing ila sio kila kitu.

Heavy lifting ambayo ndio thinking lazima ifanywe na binadamu. Haya nikuuzie kitabu 20K ambacho naandika leo na gpt. Namba zangu...07xxxxxxxxx

Utanunua?
 
Back
Top Bottom