Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Kutumia search engine ni uvivu na utoto vilevile. Watu wanatumia TV kuangalia habari lakini hapana kwangu mimi kutumia TV ili kupata news ni utoto na uvivu vilevile, watu wanaojielewa wanatumia magazeti. Mwingine naye atasema magazeti ni uvivu na utoto bali atatumia face to face.Hiyo Chat GPT ni kwa wavivu na watoto. Watu wengi hawajui kutumia search engines vizuri.
Unaona hiyo endless circle of nonsense biased preferences? Point ni kwamba hakuna njia "sahihi" kupata information bali zote ni sahihi tofauti ni versions na generations tu. na cha msingi ni ChatGPT ni Artificial Intelligence na sio Search Engine, ina matumizi tofauti kabisa na very diverse na intelligent. Watanzania tu wanashindwa kuitumia kiumakini na kufungua its full potential kama kuuliza maswali ya kitoto kama haya.
Kuna maswali ambayo hauwezi kuyapata kwenye search engine kutokana na aina ya uulizwaji wake sababu search engine ni more direct na majibu inayokupa ni ya watu wengine kutoka kwenye blogs, social medias na forums kama maana ya jina lake "SEARCH ENGINE". Lakini ChatGPT inakupa generated answer ambalo lipo perfected kutokana na swali lako, ni full package answer sio half meat na recommendations.
Mfano wa maswali ambayo huwezi kuuliza search engine. "I was thinking about starting a social media application, what can I do to make it successfully and compete in the social media market?"
Now chukua swali hilo nenda kaulize your best search engine bila shaka ni Google.
This is the answer:
5 Tips to Successful Social Media Marketing
- Create a Strategy. Each platform needs its strategy. ...
- Be Consistent. While posting consistency depends on the platform, posting content regularly is always a good rule of thumb to follow. ...
- Create Engaging & Interesting Content. ...
- Engagement. ...
- Track and Analyze Metrics.
Now chukua swali hilohilo nenda kaiulize ChatGPT. "I was thinking about starting a social media application, what can I do to make it successfully and compete in the social media market?" sent. holly damn! hautoamini jibu nililopata, imenielezea ugumu wa kuendesha social media, uwezekano wa kufanikiwa, nini cha kufanya kuanzia kwenye marketing strategy mpaka ugumu wa kucompete na established social media giants ikataja na mifano kama instagram, tik tok na twitter, ugumu na uwezekano watu kubadilisha tabia za watu wanaoutimia mitandao hiyo na kuanza kutumia social media yangu na mostly important ikanielezea na jinsi ya kuingiza profit. na bado unauwezo wa kudodosa kwenye point ilizotoa na ikusaide kueleborate in simple English nk. Ni zaidi ya kuongea na binadamu ambaye ni expert kwenye kila kitu, vilevile kuna complex topics ambazo ina uwezo wa kukufafanulia point kwa point na kama hauelewi unaiambia ikuelekeze in simple terms, it is fukking mind bending technology to ever happened in centuries.
Hell that's not enough, chatGPT imenisaidia kuandika code kwa kutoa maelezo tu, sio mimi tu bali developers wengi wanaitumia hauhitaji kusearch google for irrelavant answers au stackoverflow na quora hakuna kupoteza muda ni straight to the point na time saver. Trust me kama utumiaji mzuri wa Search Engine basi naujua mimi na haucome close na kutumia chatGPT, every real and pro search engine user knows this.
Kuna watu wanaitumia kuandika business strategies, business plans na many kind of project nk.
Jordan Peterson aliichalenge kwa kuiambia iandike essay on English Literaute na ikafanya in few seconds. Mimi binafsi niliambia iniandikie essay on human life existence in 500 and 2000 worlds ikagenerate an answer in few seconds, it's unbeliavable.
Now that is some super natural, futuristic, next generation technology, kusema kutumia ChatGPT ni uvivu na utoto ni kujidharaurisha na kuonyesha jinsi gani uko naive kwenye mambo mengi hasa new technologies na maendeleo ya dunia, hawa ndio waafrica waliosema punda ni bora kuliko gari lakini leo wote mnaona fahari kutumia magari. it's nonsense at best. Kuliko kushusha wengine na kuwaita watoto na wavivu, wewe piga kimya alafu baki hapohapo.