Wiki hii imekuwa na gumzo sana kwenye ulimwengu wa AI. HIi ni baada ya taasisi ya OPENAI kuachia rasmi toleo la nne la chat GPT 4.
CHAT GPT ni nini?
Gumzo GPT ni kielelezo cha lugha ya kijasusi kilichotengenezwa na Open AI ambayo hutumia mbinu za mashine za kujifunza ili kutoa majibu kwa maswali au maoni katika lugha asilia.
Gumzo hili linaweza kutoa majibu madhubuti na yanayohusiana kimuktadha kulingana na uchanganuzi wa idadi kubwa ya data ya maandishi. GPT Chat inaweza kutumika katika aina mbalimbali za programu kama vile chatbots, wasaidizi pepe,
mifumo ya mapendekezo, na zaidi.
Je CHAT GPT inaweza kufanya nini?
Chat GPT ina uwezo wa kujibu chochote kwa lugha yoyote ikiwemo kiswahili.
Kuanzia maswali magumu kama ya computer programming etc.
Uchambuzi wa vitabu kwa lugha ya kiswahili.
Ushauri?
Kufanya uchambuzi wa insha etc.
Kujibu maswali ya mitihani, assignment etc.
Ujio wa CHAT GPT 4 umekuwa ni tishio kwa kampuni ya Google kwa sababu uwezo wake ni mara 100 wa google hasa baada ya microsoft kuwekeza katika open AI na hivyo kuwa mtumiaji mkuu katika bidhaa zake kama search engine yake ya bing ambapo utapata bing AI powered by chat gpt 4 ambapo utakuwa unasearch kwa mfumo mpya kabisa wa conversation.
Lakini pia katika Bing AI utaweza ku search picha by word, unaandika unachokitaka kinakuja kwa picha.
Niulize chochote kuhusu ARTIFICIAL INTELLIGENCE na mimi nitakujibu .
Kujifunza zaidi kuhusu CHAT GPT INGIA HAPA kwa thread ya
ChatGPT
Ifahamu ChatGPT
CREDIT