Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Inajikanyaga sana... Kuna kipindi nilikuwa naandika blog posts fulani zinahusu mambo ya afya so nikawa naitumja kutafta reference za reasearch study kumbe inanijaza uongo au sometimes inakosea majina ya wale waliofanya hizo research. Nikaja kuona pia mama fula i huko LinkendIn anasema alikuwa anauliza maswali inampa majibu yasiyo ya kweli ili mradi ilichotoa ni grammatically na syntax correct basi kanyaga twende.
By the ni language based sio fact based so it has a long way to go
 
Na mimi nasubiri Chat Gpt za wabongo
Shida mtaji kwanza kurun hizo servers mara ya kwanza imetoma walisema qanatumia karibu bls 1.5 za kitanzania daily kurun servers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…