Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Nimeitest na simultaneous equation hapa.
Swali.

if 2x + 3y = 22 and 7x + 12y =86, what is x ? what is y?

Jibu.

To solve for x and y, we can use the method of substitution.
From the first equation, we can solve for x in terms of y:
2x + 3y = 22
2x = 22 - 3y
x = (22 - 3y)/2
Now we can substitute this expression for x into the second equation:
7x + 12y = 86
7[(22 - 3y)/2] + 12y = 86
Multiplying both sides by 2 to eliminate the fraction:
7(22 - 3y) + 24y = 172
154 - 21y + 24y = 172
3y = 18 y = 6
Now that we have solved for y, we can substitute this value back into the equation we derived for x:
x = (22 - 3y)/2 = (22 - 3(6))/2 = 4

Therefore, the solution is x = 4 and y = 6.
 
Hii ChatGPT ina safari ndefu kwenye maswali yanayohitaji kufikiria [emoji28][emoji28]
Screenshot_2023-04-29-22-30-12-010_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2023-04-29-22-30-20-234_com.android.chrome.jpg
 
UZI[emoji3468]
Kama shabiki na mtaalam wa AI katika ChatGPT, ninayo furaha kushare ufahamu wangu kwenu. Katika uzi huu, nitajadili msingi wa ChatGPT, muundo wake, na jinsi unavyofanya kazi. #ChatGPT #AI

Kwanza kabisa, ChatGPT ni nini? ChatGPT ni mfano wa lugha/language model iliyoundwa na kampuni inayoitwa OpenAI, iliundwa ili
kuzalisha majibu yanayofanana na yale yanayotolewa na binadamu kwa maswali yanayohusiana na lugha ya asili. Kimsingi, ni zana inayoweza kuzalisha maandishi yanayoonekana kama yameandikwa na binadamu kabisa. #ChatGPT #AI

ChatGPT inategemea usanidi wa ujifunzaji wa mashine, ambao uliundwa na Google mnamo 2017. Mfumo huu hiwezwsha ChatGPT kusindika na kuzalisha maandishi kwa ufanisi zaidi kuliko mitindo ya lugha/AI models zilizotangulia. #ChatGPT #AI

Moja ya mambo yanayovutia sana kuhusu ChatGPT ni uwezo wake wa kuelewa na kujibu maagizo ya lugha ya asili kwa njia inayofaa kiungwana na sarufi sahihi, uwezo wake wa kutoa ushauri kama binadamu kulingana na maelezo utakayoipa,

uwezo wa kutatua hesabu ngumu za masomo mbalimbali kama accounting na physics na chemistry pamoja na kuonesha njia, uwezo wa kufundisha, kukuuliza maswali na kukurekebisha unapokosea,


uwezo wa kuandika barua na email kitaalam, pamoja na mengine mengi sana sana. Hii inafanya kuwa zana yenye nguvu kwa matumizi mbalimbali.

Ni hayo tu kwa uzi wa leo, natumaini umepata uelewa zaidi kuhusu ChatGPT pamoja na uwezo wake.

kama ulikua hujui, hata huu uzi wote uliosoma umeundwa na ChatGPT...
Kaa tayari kupokea makala mbalimbali huhusu AI kutoka kwangu.

 
Majibu yake kuhusu mfalme Charles
 

Attachments

  • Screenshot_20230506-112451_Chrome.jpg
    Screenshot_20230506-112451_Chrome.jpg
    222.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20230506-112513_Chrome.jpg
    Screenshot_20230506-112513_Chrome.jpg
    228.2 KB · Views: 8
Hii chat GPT bado haijawa reliable source of informations compared na Google hasa kwenye updates news au information mfano niliuliza hivi muda sio mrefu hapa.
Screenshot_20230507-191630.jpg
Screenshot_20230507-191635.jpg


Kisha nikaiuliza na Google same question nikagundua google wako updated sana kuliko hao Chat GPT
 

Attachments

  • Screenshot_20230507-192743.jpg
    Screenshot_20230507-192743.jpg
    283.7 KB · Views: 10
Hii chat GPT bado haijawa reliable source of informations compared na Google hasa kwenye updates news au information mfano niliuliza hivi muda sio mrefu hapa.View attachment 2613616View attachment 2613617

Kisha nikaiuliza na Google same question nikagundua google wako updated sana kuliko hao Chat GPT
Chat gpt is still new in the market compared to Google

Unachofanya wewe ni kama kumuuliza mambo ya 1987 mtoto aliyezaliwa mwaka 2003

Halafu ukamuuliza mtu aliyezaliwa mwaka 1980 swali hilo hilo kisha useme mtoto wa 2003 hana taarifa sahihi kuhusu mambo yaliyo tokea mwaka 1987
 
Chat gpt is still new in the market compared to Google

Unachofanya wewe ni kama kumuuliza mambo ya 1987 mtoto aliyezaliwa mwaka 2003

Halafu ukamuuliza mtu aliyezaliwa mwaka 1980 swali hilo hilo kisha useme mtoto wa 2003 hana taarifa sahihi kuhusu mambo yaliyo tokea mwaka 1987
Mfano wako hauendani na hoja niliyoleta sijui ulikuwa unalenga nini?

Any way huyo "mtoto" inakuwaje awe na taarifa za mwaka wa zamani lakini za sasa hana? Mfano chat GPT ananiambia current monarch ni her Majesty Queen Elizabeth(data za zamani). Na haijui kwamba huyu queen alishakufa which is current data na mtoto wake kachukua kiti.

Mtoto anajuaje mambo ya zamani kipindi hayupo na ya sasa ambapo yupo hajui?

Wakati huyu mtu wa 1980 anajua ya zamani na ya sasa.
 
Niliiuliza ndege inatoka dar hadi kigoma kwa saa moja na nusu, halafu inatoka kigoma kurudi dar kwa dakika 90. Nikaiuliza tatizo linaweza kuwa nini?

Ikaanza kuleta ngojera na ujuaji kibao 🤣🤣

ChatGPT


Iliulizwa hivi
Screenshot_20230508-061254.jpg

Ikajibu hivi

Tatizo linaweza kuwa ni kuhusu tofauti kati ya muda unaotumiwa na ndege kwenda kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma na kutoka Kigoma kurudi Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa swali lako, ndege inatumia saa moja na nusu kwenda kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, lakini inatumia dakika 90 tu kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam. Hii inaonyesha kuwa kuna tofauti kubwa ya muda kati ya safari hizo mbili.
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha hii, ikiwa ni pamoja na:

Ndege inapitia njia tofauti wakati wa kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam ambayo inachukua muda mfupi kuliko njia ya kwenda.

Wakati wa safari ya kwanza kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, ndege inaweza kupata msukumo wa hewa kwa urahisi na hivyo inaweza kusafiri kwa kasi zaidi ikilinganishwa na safari ya kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam.

Kuna uwezekano pia kwamba taarifa iliyotolewa kwenye swali ni sahihi na ndege inatumia muda mrefu zaidi kwenda kuliko kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam.

Kwa hiyo, ni muhimu kufanya uchunguzi zaidi ili kupata sababu sahihi za tofauti hii katika muda wa safari.
 
Back
Top Bottom