Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Hiyo inatumika kikawaida zaidi, haina rejea za majibu yake. Nadhani anafaa kwa fafanuzi za elimu ya Msingi na Secondari.
 
Niliiuliza ndege inatoka dar hadi kigoma kwa saa moja na nusu, halafu inatoka kigoma kurudi dar kwa dakika 90. Nikaiuliza tatizo linaweza kuwa nini?

Ikaanza kuleta ngojera na ujuaji kibao [emoji1787][emoji1787]

ChatGPT

Iliulizwa hivi
View attachment 2614019
Ikajibu hivi

Tatizo linaweza kuwa ni kuhusu tofauti kati ya muda unaotumiwa na ndege kwenda kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma na kutoka Kigoma kurudi Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa swali lako, ndege inatumia saa moja na nusu kwenda kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, lakini inatumia dakika 90 tu kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam. Hii inaonyesha kuwa kuna tofauti kubwa ya muda kati ya safari hizo mbili.
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha hii, ikiwa ni pamoja na:

Ndege inapitia njia tofauti wakati wa kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam ambayo inachukua muda mfupi kuliko njia ya kwenda.

Wakati wa safari ya kwanza kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, ndege inaweza kupata msukumo wa hewa kwa urahisi na hivyo inaweza kusafiri kwa kasi zaidi ikilinganishwa na safari ya kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam.

Kuna uwezekano pia kwamba taarifa iliyotolewa kwenye swali ni sahihi na ndege inatumia muda mrefu zaidi kwenda kuliko kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam.

Kwa hiyo, ni muhimu kufanya uchunguzi zaidi ili kupata sababu sahihi za tofauti hii katika muda wa safari.
Iko hivi dakika

Dk60=1hr + 30=1hr & 30

Kwa hiyo hakuna utofauti hapo kitu ni kile kile
 
Jamaa nikamuuliza unajua Kiswahili isee yaani siumizi kichwa tena nikumfuata al chat gpt nafurahia ulimwengu wa internet
 
Dah technologia imefika patamu sana. The future is exciting! 👍😃
 
Niliiuliza ndege inatoka dar hadi kigoma kwa saa moja na nusu, halafu inatoka kigoma kurudi dar kwa dakika 90. Nikaiuliza tatizo linaweza kuwa nini?

Ikaanza kuleta ngojera na ujuaji kibao 🤣🤣

ChatGPT

Iliulizwa hivi
View attachment 2614019
Ikajibu hivi

Tatizo linaweza kuwa ni kuhusu tofauti kati ya muda unaotumiwa na ndege kwenda kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma na kutoka Kigoma kurudi Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa swali lako, ndege inatumia saa moja na nusu kwenda kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, lakini inatumia dakika 90 tu kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam. Hii inaonyesha kuwa kuna tofauti kubwa ya muda kati ya safari hizo mbili.
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha hii, ikiwa ni pamoja na:

Ndege inapitia njia tofauti wakati wa kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam ambayo inachukua muda mfupi kuliko njia ya kwenda.

Wakati wa safari ya kwanza kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, ndege inaweza kupata msukumo wa hewa kwa urahisi na hivyo inaweza kusafiri kwa kasi zaidi ikilinganishwa na safari ya kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam.

Kuna uwezekano pia kwamba taarifa iliyotolewa kwenye swali ni sahihi na ndege inatumia muda mrefu zaidi kwenda kuliko kurudi kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam.

Kwa hiyo, ni muhimu kufanya uchunguzi zaidi ili kupata sababu sahihi za tofauti hii katika muda wa safari.
Hutakiwi kuiamini kwa asilimia zote bado changa hii
 
Wakuu kama kichwa cha habari kilivyojieleza.

Nimepata hamasa sana baada y kusikia habari za chathpt 4 ambayo ni ina real-time response hii tunayotumia ina limited data ya 2021.

Kwahiyo naweza vipi kuiaccess chatgpt 4 maana, link nyingi zinakuleta kwenye hii ya sasa ambayo ni chatgpt 3.

Msaada wakuu wa kielimu.
 
Wekeni ya Bure.
Nimetumia ya bure kutafuta coat of arms👇
Screenshot_20230509_014355_Samsung Internet.jpg
 
For those interested, hii ni tech talk from Harvard kuhusu GPT 4 na namna ya kuitumia, iko vizuri iangalieni mnaweza gain one or two things kwa faida zenu maana mmelala sana
 
Back
Top Bottom