habari Moneyhollic.
nataka nijiunge CopyTrading. Nikamcheki admin.
nashangaa Link ya kufungua account amenipa ya Equiti badala ya FXpesa.
hii imekaaje mzee? kuna mabadiliko ama?
Broker mwenyewe (Equiti) hana payment system ya MPESA/TIGO!!
inakuaje hapo mzee... nilitaka nifund account ila nimepata mashaka.