Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
- Thread starter
-
- #21
Jwaneng iliyopooza uwa inawapigisha kwata mnaomba mpira uishe😆😆😆 mechi 2 za ligi unaambulia point moja kwa mbinde na paka weusi wakijumuishwa kuokoa jahazi🤣🤣🤣Gongowazi nyie ni jwaneng iliyopooza🐒
Jwaneng anahitaji kushinda 3 - 0 aingie hatua ya makundi wakati huo UTO wako nyumbani tayariNi jambo la ajabu Sana timu inayoshiriki michuano mikubwa kama hii inafungwa mabao ya aina moja ndani ya dk 4? Aina ya namna beki zake zinavyojipanga kucheza mipira ya kona ni kichekesho kingine...
Wewe unaonyesha kabisa ulivyo mweupe kichwani, kwa mpira upi uliocheza Botswana mpaka upoteze network kichwani? Eti uenda ikatwaa ubingwaa labda ubingwa wa kuloga na kufuga paka vinginevyo mnayo hali mbaya Sana msimu huu, kama mnaangaishwa na timu isiyokuwa na mbele wala nyuma mkikutana na wanaume ndo mtaimba vizuriWw ndie mpuuzi mkubwa na timu yako ya Yanga ni mabwege. Kwa mpira gani ule wa Rivers hadi mpigwe sigara ya nyota. Mm nipo botswana saizi stori ni kuwa hii timu ya Simba huenda ikatwaa ubingwa safari hii. Hiyo kauli ya kuwa Simba amepata kibonde ni baada ya kushinda Simba? Nikupe na hii kwa mpira ule sio Yanga wala Rivers hakuna wa kushinda Botswana. Only Simba and other fewer northern part of Africa.
Nyie mngempiga Rivers Dar leo ilibidi mcheze mbwa nyie
Kwani mpira ule wa rivers utafananisha na game ya Somba sc 3 0 Kaizer Chiefs? Au Simber 1 0 Al ahly?, au Simba vs As Vita? Kama hakuna genetics hapo vipi ingekuwa nyinyi mngepata ushindi? Au Rivers angecheza na Simba unadhani Rivers angeshinda?Wewe unaonyesha kabisa ulivyo mweupe kichwani, kwa mpira upi uliocheza Botswana mpaka upoteze network kichwani? Eti uenda ikatwaa ubingwaa labda ubingwa wa kuloga na kufuga paka vinginevyo mnayo hali mbaya Sana msimu huu, kama mnaangaishwa na timu isiyokuwa na mbele wala nyuma mkikutana na wanaume ndo mtaimba vizuri
Wewe ni mpumbafu wa kiwango cha diplomaRage akukosea kuwaita mbumbumbu, unawalinganisha awa jwaneng na Rivers? Kwanza fatilia ligi ya botswana na nigeria ndo uje utapike utumbo wako apa, baada ya apo fatilia kila timu kiufundi ikoje, anzia hapo kujenga hoja sio ushabiki oya oya mlionao watu Kama nyie
Tunaenda makundi tuliza puru hilo, uto a.k.a kubwa jinga mnabebwa hambebeki qmmmk [emoji196]Mashudu tu, endeleeni kujifariji mtapokutana na kitu kizito ndo mtashtuka, ukimwamsha alielala utalala wewe, nyie ni timu bora kabisa na mmeonyesha kiwango kikubwa sana kwa timu bora na ngumu ya Botswana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo wanaingia makundi hivyo, na hapo ni mbali tayari. Unataka wafike mbali wapi tena?... simba leo wanatakiwa wafanye kazi ya ziada Kama wanataka kufika mbali kwenye hii michuano ...
Tunaenda makundi tuliza puru hilo, uto a.k.a kubwa jinga mnabebwa hambebeki qmmmk [emoji196
Misukule ya mo kwenye ubora wake, nendeni ayo makundi lakini mkae mkijua yatawakuta mazito na kwakuwa mzezeta ya mo mko wengi humu ndo mtapoteana kabisa maana ukweli unawaumiza sana, mda ni mwalimu mzuri sanaTunaenda makundi tuliza puru hilo, uto a.k.a kubwa jinga mnabebwa hambebeki qmmmk [emoji196]
Niliposoma huu uzi wako, nikajua "umechambua" kiuanamichezo! Kadiri unavyojibu michango ya wengine, ndivyo unavyozidi kuonyesha upo upande gani, na ni kwa jinsi gani hayo matokeo yalivyokuumiza!Rage akukosea kuwaita mbumbumbu, unawalinganisha awa jwaneng na Rivers? Kwanza fatilia ligi ya botswana na nigeria ndo uje utapike utumbo wako apa, baada ya apo fatilia kila timu kiufundi ikoje, anzia hapo kujenga hoja sio ushabiki oya oya mlionao watu Kama nyie
Kwani.mshawahi acha kuongea 🤣🤣🤣🤣Mashudu tu, endeleeni kujifariji mtapokutana na kitu kizito ndo mtashtuka, ukimwamsha alielala utalala wewe, nyie ni timu bora kabisa na mmeonyesha kiwango kikubwa sana kwa timu bora na ngumu ya Botswana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenzetu kapata wala hatuna jinsi yoyote ya kumsimanga. Tuache wivu usioleta maendeleo.Ni jambo la ajabu Sana timu inayoshiriki michuano mikubwa kama hii inafungwa mabao ya aina moja ndani ya dk 4? Aina ya namna beki zake zinavyojipanga kucheza mipira ya kona ni kichekesho kingine....
Simba ipi iyo unayoisema ingeitoa rivars? Hii iliyocheza na jwaneng!!! Jaribu kuwa unaficha ujinga wako mda mwingine usiwe unaipa shida ata familia yako, mpira unachezwa adharani akuna kificho,Kwani mpira ule wa rivers utafananisha na game ya Somba sc 3 0 Kaizer Chiefs? Au Simber 1 0 Al ahly?, au Simba vs As Vita? Kama hakuna genetics hapo vipi ingekuwa nyinyi mngepata ushindi?...
Mlianza kusema Simba Kwa juaneng hatoboi saivi mnasema makundi hatoboi baadae mtasema Robo hatoboi.Yaani hii simba hatua ya makundi lazima apatikane mchawi
Yaani hii simba hatua ya makundi lazima apatikane mchawi
Wewe endelea kukata nyanya nyumbani hapa wenzio wakienda kupambana. Maneno tu mnayaweza.Wewe unaonyesha kabisa ulivyo mweupe kichwani, kwa mpira upi uliocheza Botswana mpaka upoteze network kichwani? Eti uenda ikatwaa ubingwaa labda ubingwa wa kuloga na kufuga paka vinginevyo mnayo hali mbaya Sana msimu huu, kama mnaangaishwa na timu isiyokuwa na mbele wala nyuma mkikutana na wanaume ndo mtaimba vizuri
Siyo wabaya sana ,hawa msimu uliopita waliwatoa jasho MamelodiHao ni kama Utopolo iliyopigwa nje ndani na Rivers United.