Mmh hawa Jwaneng ni kama Ihefu iliyochangamka, hakuna timu hapo

Mmh hawa Jwaneng ni kama Ihefu iliyochangamka, hakuna timu hapo

Gongowazi nyie ni jwaneng iliyopooza🐒
Jwaneng iliyopooza uwa inawapigisha kwata mnaomba mpira uishe😆😆😆 mechi 2 za ligi unaambulia point moja kwa mbinde na paka weusi wakijumuishwa kuokoa jahazi🤣🤣🤣
 
Ni jambo la ajabu Sana timu inayoshiriki michuano mikubwa kama hii inafungwa mabao ya aina moja ndani ya dk 4? Aina ya namna beki zake zinavyojipanga kucheza mipira ya kona ni kichekesho kingine...
Jwaneng anahitaji kushinda 3 - 0 aingie hatua ya makundi wakati huo UTO wako nyumbani tayari
 
Ww ndie mpuuzi mkubwa na timu yako ya Yanga ni mabwege. Kwa mpira gani ule wa Rivers hadi mpigwe sigara ya nyota. Mm nipo botswana saizi stori ni kuwa hii timu ya Simba huenda ikatwaa ubingwa safari hii.

Hiyo kauli ya kuwa Simba amepata kibonde ni baada ya kushinda Simba? Nikupe na hii kwa mpira ule sio Yanga wala Rivers hakuna wa kushinda Botswana. Only Simba and other fewer northern part of Africa.

Nyie mngempiga Rivers Dar leo ilibidi mcheze mbwa nyie
 
Ww ndie mpuuzi mkubwa na timu yako ya Yanga ni mabwege. Kwa mpira gani ule wa Rivers hadi mpigwe sigara ya nyota. Mm nipo botswana saizi stori ni kuwa hii timu ya Simba huenda ikatwaa ubingwa safari hii. Hiyo kauli ya kuwa Simba amepata kibonde ni baada ya kushinda Simba? Nikupe na hii kwa mpira ule sio Yanga wala Rivers hakuna wa kushinda Botswana. Only Simba and other fewer northern part of Africa.
Nyie mngempiga Rivers Dar leo ilibidi mcheze mbwa nyie
Wewe unaonyesha kabisa ulivyo mweupe kichwani, kwa mpira upi uliocheza Botswana mpaka upoteze network kichwani? Eti uenda ikatwaa ubingwaa labda ubingwa wa kuloga na kufuga paka vinginevyo mnayo hali mbaya Sana msimu huu, kama mnaangaishwa na timu isiyokuwa na mbele wala nyuma mkikutana na wanaume ndo mtaimba vizuri
 
Kwani mpira ule wa rivers utafananisha na game ya Somba sc 3 0 Kaizer Chiefs? Au Simber 1 0 Al ahly?, au Simba vs As Vita? Kama hakuna genetics hapo vipi ingekuwa nyinyi mngepata ushindi? Au Rivers angecheza na Simba unadhani Rivers angeshinda?

Wewe simba ana linda vitu 2 katika Afrika 1. Dignity 2. Reputation. Nyie hamna legitimacy ya kuizungumzia Simba tumejifunza kwa UD Songo sasa basi.

Kama mlivyofanywa na Zesco ama Pyramid ndio Yale yale mmejirudia kwa Rivers. Frog always fights to be toady, utofauti hakuna uishi majini au nchi kavu chura ni chura tu.
 
Rage akukosea kuwaita mbumbumbu, unawalinganisha awa jwaneng na Rivers? Kwanza fatilia ligi ya botswana na nigeria ndo uje utapike utumbo wako apa, baada ya apo fatilia kila timu kiufundi ikoje, anzia hapo kujenga hoja sio ushabiki oya oya mlionao watu Kama nyie
Wewe ni mpumbafu wa kiwango cha diploma
 
Mashudu tu, endeleeni kujifariji mtapokutana na kitu kizito ndo mtashtuka, ukimwamsha alielala utalala wewe, nyie ni timu bora kabisa na mmeonyesha kiwango kikubwa sana kwa timu bora na ngumu ya Botswana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunaenda makundi tuliza puru hilo, uto a.k.a kubwa jinga mnabebwa hambebeki qmmmk [emoji196]
 
Tunaenda makundi tuliza puru hilo, uto a.k.a kubwa jinga mnabebwa hambebeki qmmmk [emoji196

Tunaenda makundi tuliza puru hilo, uto a.k.a kubwa jinga mnabebwa hambebeki qmmmk [emoji196]
Misukule ya mo kwenye ubora wake, nendeni ayo makundi lakini mkae mkijua yatawakuta mazito na kwakuwa mzezeta ya mo mko wengi humu ndo mtapoteana kabisa maana ukweli unawaumiza sana, mda ni mwalimu mzuri sana
 
Makolo hawataki ukweli

Hapa hakuna timu kabisa, timu kibonde ambao hawana hata physic bado hata kumiliki mpira ni shida kabisa, hii simba wajiandae maumivu huko makundi

Mark my words
 
Rage akukosea kuwaita mbumbumbu, unawalinganisha awa jwaneng na Rivers? Kwanza fatilia ligi ya botswana na nigeria ndo uje utapike utumbo wako apa, baada ya apo fatilia kila timu kiufundi ikoje, anzia hapo kujenga hoja sio ushabiki oya oya mlionao watu Kama nyie
Niliposoma huu uzi wako, nikajua "umechambua" kiuanamichezo! Kadiri unavyojibu michango ya wengine, ndivyo unavyozidi kuonyesha upo upande gani, na ni kwa jinsi gani hayo matokeo yalivyokuumiza!
 
Mashudu tu, endeleeni kujifariji mtapokutana na kitu kizito ndo mtashtuka, ukimwamsha alielala utalala wewe, nyie ni timu bora kabisa na mmeonyesha kiwango kikubwa sana kwa timu bora na ngumu ya Botswana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani.mshawahi acha kuongea 🤣🤣🤣🤣
 
Yaani hii simba hatua ya makundi lazima apatikane mchawi
 
Ni jambo la ajabu Sana timu inayoshiriki michuano mikubwa kama hii inafungwa mabao ya aina moja ndani ya dk 4? Aina ya namna beki zake zinavyojipanga kucheza mipira ya kona ni kichekesho kingine....
Mwenzetu kapata wala hatuna jinsi yoyote ya kumsimanga. Tuache wivu usioleta maendeleo.
Sisi tuliibeza Rivers kabla na hata baada ya kutufunga hapa nyumbani!

Wenzetu wamekwenda kwa kuwaheshimu wapinzani wao hivyo kujizatiti. Sisi maneno ya viongozi wetu huwa yanatuponza na kutuvimbisha vichwa. Na pengine uzoefu wao wa michezo ya misimu iliyopita imewasaidia. Acha nyodo.
 
Kwani mpira ule wa rivers utafananisha na game ya Somba sc 3 0 Kaizer Chiefs? Au Simber 1 0 Al ahly?, au Simba vs As Vita? Kama hakuna genetics hapo vipi ingekuwa nyinyi mngepata ushindi?...
Simba ipi iyo unayoisema ingeitoa rivars? Hii iliyocheza na jwaneng!!! Jaribu kuwa unaficha ujinga wako mda mwingine usiwe unaipa shida ata familia yako, mpira unachezwa adharani akuna kificho,

ubora na ubovu wenu unajionyesha dhairi shairi, simba hii imebaki jina tu, mpira uje urudishwe Kama ulivyokuja kwa kina boko wagombanie ndo mfumo wa sasa huo,

wakipigwa pini biashara inaishia apo, kusikia kwa kenge Siku zote ni mpaka atoe damu siku si nyingi ubovu wenu utaonekana, ukicheza na timu zinazojielewa ndo mnaondoka uwanjani mmenuna
 
Yaani hii simba hatua ya makundi lazima apatikane mchawi
Mlianza kusema Simba Kwa juaneng hatoboi saivi mnasema makundi hatoboi baadae mtasema Robo hatoboi.

Uto tushawazoea Na Ramli zenu miaka nenda miaka Rudi.....nyie laleni usingizi mkisubiria wanaume wawabebe Tena mgongoni mwakani
 
Wewe unaonyesha kabisa ulivyo mweupe kichwani, kwa mpira upi uliocheza Botswana mpaka upoteze network kichwani? Eti uenda ikatwaa ubingwaa labda ubingwa wa kuloga na kufuga paka vinginevyo mnayo hali mbaya Sana msimu huu, kama mnaangaishwa na timu isiyokuwa na mbele wala nyuma mkikutana na wanaume ndo mtaimba vizuri
Wewe endelea kukata nyanya nyumbani hapa wenzio wakienda kupambana. Maneno tu mnayaweza.
 
Back
Top Bottom