Mmh hawa Jwaneng ni kama Ihefu iliyochangamka, hakuna timu hapo

Hawa wakitaka wajue timu yao ni bora kiasi gani basi waangalie game zao tatu yaani Mazembe, Yanga na Biashara ambazo zote walipigwa

Hii timu anatafutwa msaliti muda si mrefu
 
Vipimo vyao vilikuwa ni wale Mazembe, Yanga na Biashara United na zote walipigwa na sio hawa wala urojo wa kitswana

Dhahma inakuja mbwa hawa
Hakika[emoji817],tatizo hawataki kuusikia ukweli,wanaridhika na sifa za wachambuzi uchwara
 
Hawa wakitaka wajue timu yao ni bora kiasi gani basi waangalie game zao tatu yaani Mazembe, Yanga na Biashara ambazo zote walipigwa

Hii timu anatafutwa msaliti muda si mrefu
Ila utopolo ni mbovu zaidi.
CAF YOTE NI SIMBA
 
Unateseka ukiwa wapi?
 
Waliobebwa ndo hao hao wanawakojolea kila mnapokuktana nao sijui mliwabebaje apo maana amkuchukua kwao ata point moja ya maana ni kichekesho, awa jwaneng unawalinganisha na Rivers? Awa kiwango chao ni sawa na mbeya city, au majimaji ya songea
Kama walivyo Uto alivyomkojolea Simba kule Kigoma
 
Sawa mke wa MLEMAVU endeleeni kubeza kinachofanywa na wenzenu. NGURUWE FC
 
Huko Nigeria Simba ilimpiga Plateau. Una jingine?
 
Akuna sababu ya kuieleza tena kwakuwa ilishasemwa Mara kibao otherwise una lako jambo,
Niliyoisikia Mimi Ni uto walikuwa vibonde Sana pamoja Na fitna zao + uchawi waliwashindwa vibonde wenzao rivers...au Kuna nyingine?
 
Hawa wakitaka wajue timu yao ni bora kiasi gani basi waangalie game zao tatu yaani Mazembe, Yanga na Biashara ambazo zote walipigwa

Hii timu anatafutwa msaliti muda si mrefu
Ukitaka wakimbie uzi uwambie wanakutana na yanga wiki ijayo uone watavyobana mik,,,ndu yao apa, wabotswana ata kushoot tu golini awajui sijui ile timu waliyoitoa kwa 2-1 inaonekana ni Kama zile timu za Djibouti, shelisheli na Somalia, maana ni mechi ambayo aikuwa na mvuto kabisa
 
Sasa kama Yanga ni mbovu na ikakufunga, sijui makolo bwenzi ubovu wao upoje sasa
Mkifungwa nyie mmefungwa na timu nzuri.
Ila Simba wakishinda imewafunga timu mbovu.
Haya Simba wabovu.
CAF YOTE NI SIMBA
 
UKIONA SIMBA
ANASHINDA
KIMATAIFA
UNAWEZA SEMA
KIMATAIFA NI
RAHIISI, INGIA
WEWE SAS
 
UKIONA SIMBA
ANASHINDA
KIMATAIFA
UNAWEZA SEMA
KIMATAIFA NI
RAHIISI, INGIA
WEWE SAS
Wydad Casablanca kala 1-0.
Rivers United wababe wa utopplo wamechomoa 1-1.
Ila jwaneng wanaonekana wabovu kiss wamefungwa na Simba.
Ila wangeshinda wangeambiwa wazuri
 
Mkifungwa nyie mmefungwa na timu nzuri.
Ila Simba wakishinda imewafunga timu mbovu.
Haya Simba wabovu.
CAF YOTE NI SIMBA
Ww mwenyewe unajiita mjinga, kama akili yako haifanyi kazi na macho yako hayaoni kama hiyo timu hata uwezo wa shooting hawana
 
Huko Nigeria Simba ilimpiga Plateau. Una jingine?
Simba ile ya kipindi kile unalinganisha na huu uharo? Basi simba hii iende tena ikamfunge plateau tuone Kama nyie ni wanaume kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…