mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwa hyo mlitaka hao jamaa wawe Kama rivers United?.
CAF YOTE NI SIMBA
CAF YOTE NI SIMBA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wakitaka wajue timu yao ni bora kiasi gani basi waangalie game zao tatu yaani Mazembe, Yanga na Biashara ambazo zote walipigwaAcheni waendelee kujifariji, preaseson mwezi mzima kambini wanajiandaa lakini mpira wanaocheza ni kichekesho, walikuwa wanaisimanga yanga lakini ukiangalia mpira unaopigwa na wanajangwani kwa sasa ukalinganisha na hao waliokaa camp kwa mda wa kutosha ni mbingu na ardhi, sasa hivi wamegeukia mipira mirefu unavyokuja mpira unarudishwa ivyo ivyo watajua uko kina boko na kagere🤣🤣🤣🤣
Hakika[emoji817],tatizo hawataki kuusikia ukweli,wanaridhika na sifa za wachambuzi uchwaraVipimo vyao vilikuwa ni wale Mazembe, Yanga na Biashara United na zote walipigwa na sio hawa wala urojo wa kitswana
Dhahma inakuja mbwa hawa
Ila utopolo ni mbovu zaidi.Hawa wakitaka wajue timu yao ni bora kiasi gani basi waangalie game zao tatu yaani Mazembe, Yanga na Biashara ambazo zote walipigwa
Hii timu anatafutwa msaliti muda si mrefu
Unateseka ukiwa wapi?Ni jambo la ajabu Sana timu inayoshiriki michuano mikubwa kama hii inafungwa mabao ya aina moja ndani ya dk 4? Aina ya namna beki zake zinavyojipanga kucheza mipira ya kona ni kichekesho kingine, Simba uwa wanayo bahati kukutana na aina ya timu za ovyo ovyo kama hizi hatua za mwanzo wala wasijisifu kuwa wamekuwa bora kwenye hii mechi bali wamekutana na mgonjwa aliekuwa anasubili kukata roho, kwa kiwango hiki cha simba leo wanatakiwa wafanye kazi ya ziada Kama wanataka kufika mbali kwenye hii michuano la sivyo wakishupaza shingo na kujiona wako bora kwakuwa wameshinda Leo watakuwa wanajichimbia kaburi Lao wenyewe, unapkutana na mbovu mwenzako lazima Kati yenu lazima apatikane mwenye nafuu ndo kinachotokea leo, Najua kuna wapuuzi watakuja apa kujisifu na kutamba nawapa pole yenu mjipange!
Wamekutana na weak opponent lakini hakuna cha maana walichokifanya uwnjaniHakika[emoji817],tatizo hawataki kuusikia ukweli,wanaridhika na sifa za wachambuzi uchwara
Kama walivyo Uto alivyomkojolea Simba kule KigomaWaliobebwa ndo hao hao wanawakojolea kila mnapokuktana nao sijui mliwabebaje apo maana amkuchukua kwao ata point moja ya maana ni kichekesho, awa jwaneng unawalinganisha na Rivers? Awa kiwango chao ni sawa na mbeya city, au majimaji ya songea
Sasa kama Yanga ni mbovu na ikakufunga, sijui makolo bwenzi ubovu wao upoje sasaIla utopolo ni mbovu zaidi.
CAF YOTE NI SIMBA
Sawa mke wa MLEMAVU endeleeni kubeza kinachofanywa na wenzenu. NGURUWE FCNi jambo la ajabu Sana timu inayoshiriki michuano mikubwa kama hii inafungwa mabao ya aina moja ndani ya dk 4? Aina ya namna beki zake zinavyojipanga kucheza mipira ya kona ni kichekesho kingine, Simba uwa wanayo bahati kukutana na aina ya timu za ovyo ovyo kama hizi hatua za mwanzo wala wasijisifu kuwa wamekuwa bora kwenye hii mechi bali wamekutana na mgonjwa aliekuwa anasubili kukata roho, kwa kiwango hiki cha simba leo wanatakiwa wafanye kazi ya ziada Kama wanataka kufika mbali kwenye hii michuano la sivyo wakishupaza shingo na kujiona wako bora kwakuwa wameshinda Leo watakuwa wanajichimbia kaburi Lao wenyewe, unapkutana na mbovu mwenzako lazima Kati yenu lazima apatikane mwenye nafuu ndo kinachotokea leo, Najua kuna wapuuzi watakuja apa kujisifu na kutamba nawapa pole yenu mjipange!
Huko Nigeria Simba ilimpiga Plateau. Una jingine?Rage akukosea kuwaita mbumbumbu, unawalinganisha awa jwaneng na Rivers? Kwanza fatilia ligi ya botswana na nigeria ndo uje utapike utumbo wako apa, baada ya apo fatilia kila timu kiufundi ikoje, anzia hapo kujenga hoja sio ushabiki oya oya mlionao watu Kama nyie
Niliyoisikia Mimi Ni uto walikuwa vibonde Sana pamoja Na fitna zao + uchawi waliwashindwa vibonde wenzao rivers...au Kuna nyingine?Akuna sababu ya kuieleza tena kwakuwa ilishasemwa Mara kibao otherwise una lako jambo,
Ukitaka wakimbie uzi uwambie wanakutana na yanga wiki ijayo uone watavyobana mik,,,ndu yao apa, wabotswana ata kushoot tu golini awajui sijui ile timu waliyoitoa kwa 2-1 inaonekana ni Kama zile timu za Djibouti, shelisheli na Somalia, maana ni mechi ambayo aikuwa na mvuto kabisaHawa wakitaka wajue timu yao ni bora kiasi gani basi waangalie game zao tatu yaani Mazembe, Yanga na Biashara ambazo zote walipigwa
Hii timu anatafutwa msaliti muda si mrefu
Mkifungwa nyie mmefungwa na timu nzuri.Sasa kama Yanga ni mbovu na ikakufunga, sijui makolo bwenzi ubovu wao upoje sasa
Wydad Casablanca kala 1-0.UKIONA SIMBA
ANASHINDA
KIMATAIFA
UNAWEZA SEMA
KIMATAIFA NI
RAHIISI, INGIA
WEWE SAS
Ww mwenyewe unajiita mjinga, kama akili yako haifanyi kazi na macho yako hayaoni kama hiyo timu hata uwezo wa shooting hawanaMkifungwa nyie mmefungwa na timu nzuri.
Ila Simba wakishinda imewafunga timu mbovu.
Haya Simba wabovu.
CAF YOTE NI SIMBA
Kwa mujibu wa CAF NAMUNGO ipo juu ya YANGA.Makolo hawataki ukweli
Hapa hakuna timu kabisa, timu kibonde ambao hawana hata physic bado hata kumiliki mpira ni shida kabisa, hii simba wajiandae maumivu huko makundi
Mark my words
Sawaa rivers United ndo wazuriWw mwenyewe unajiita mjinga, kama akili yako haifanyi kazi na macho yako hayaoni kama hiyo timu hata uwezo wa shooting hawana
Simba ile ya kipindi kile unalinganisha na huu uharo? Basi simba hii iende tena ikamfunge plateau tuone Kama nyie ni wanaume kweliHuko Nigeria Simba ilimpiga Plateau. Una jingine?
Hata msimu uliopita mlikuwa hivyohivyo mpaka Simba ikawapitisha.Yaani hii simba hatua ya makundi lazima apatikane mchawi