Mmh hawa Jwaneng ni kama Ihefu iliyochangamka, hakuna timu hapo

Ni kweli wabotswana ni utopolo iliyochangamka yaani wamewazidi yanga kidogo tu sema wao hawajakamia mechi
 
Waliobebwa ndo hao hao wanawakojolea kila mnapokuktana nao sijui mliwabebaje apo maana amkuchukua kwao ata point moja ya maana ni kichekesho, awa jwaneng unawalinganisha na Rivers? Awa kiwango chao ni sawa na mbeya city, au majimaji ya songea
Kila mnapokutana unataka kumanisha nn? Kigoma ulikutana na Nani na vipi Nan alikojolewa huko?

Ukweli mchungu yanga mafanikio yenu ni kumkamia Simba na kumfunga mkibahatika kufunga Tena kwa ndumba mnafurah as if mmebeba ubingwa ,ushind wenyewe umejaa janja janja kibao Mara mpitie milango isio rasmi Mara vile ,mlitaka kuleta huo upuuz kwa wanaijeria lakin wakawakojolea nje ndan ,alafu hao wabotswana wameanza hatua ya awal km yanga,.
Akishinda Simba bac timu aliyokutana nayo ni mbovu ,hata msimu uliopita mliongea ivo Ivo lakin Simba ikamfunga alhly ,as Vita na taka taka zingine ,ifike Mahal muwe mnakubal kuwa mmezidiwa parefu na Simba kuanzia viwango maana Simba ni ya 15 Africa kwa ubora huku yanga akiwa wa 74.
Alafu sio ajabu yanga kumfunga Simba ,mbona hata Bayern Munich anafungwa na shalk04 lakin haiondoi kuwa shalk04 ni Bora kwa munich.

Majitu ya yanga mmejaa wivu na husda ndio maana hamfanikiw ,njia ya kifanikiwa sio kumchukia aliyekuzid Bali ni kukubal kuwa sio level yako ili ujifunze
 
Makolo hawataki ukweli

Hapa hakuna timu kabisa, timu kibonde ambao hawana hata physic bado hata kumiliki mpira ni shida kabisa, hii simba wajiandae maumivu huko makundi

Mark my words
Tumark nini wewe yanga fatilia ligi kuu

Huku kwa njemba kubwa tuachie sisi na pointi 1 yako
 
Simba na Yanga mnashindana aibu, yanga kala aibu ya kutolewa simba kala aibu ya kuingia makundi
 
Hata wawe na usomi kiasi gani, lakini wakifika kwenye Yanga yao, wanakuwa kama HAMNAZO VILEEEEEEEEE! Hayo sio maneno yangu. Sina shaka anaeleweka!
 
Mashabiki wa Yanga mbona mnaumia hivi simba kufanya vizuri mkae mkijua simba kuanzia sasa hatua ya makundi sio tena kitu cha majaliwa bali ni hali ya kawaida hata kama timu yao iwe mbovu kiasi gani na huu ndio ukubwa wa simba tunaousema hapa
Ukiondoa simba vilabu vingine vyote vilivyobaki nchini kufika tu hatua ya makundi ni ndoto achilia mbali robo fainali ambako simba amefika mara mbili ndani ya misimu mitatu
 
Unachopaswa kujua ni kwamba hakuna historia inayokumbukwa kwamba timu fulani ilikuwa bora ingawa imetolewa na timu bora zaidi. Ukipata mpinzani dhaifu muadhibu na songa mbele. Hakuna timu hapa duniani katika hatua yoyote inayofurahia kukutanishwa na mpinzani bora maana huwa hakuna kombe la kutolewa na timu bora.
 
Asante kwa uchambuzi mzuri.
 
[emoji106]
 
Wydad Casablanca kala 1-0.
Rivers United wababe wa utopplo wamechomoa 1-1.
Ila jwaneng wanaonekana wabovu kiss wamefungwa na Simba.
Ila wangeshinda wangeambiwa wazuri
te te te wasiogope mwakani wanabebwa tena waondoe shaka wakatie aibu..
biashara yupo kimataifa utopolo yupo songea
duniani maajabu hayaishi
 
Mtanzanias ni mmojawapo wa wale aliowasema Hajk Manara hapa!!
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna mashabiki wajinga sana nchi hii, kuna watu walipigwq nje ndani, nyuma mbele, hawana aibu kabisa, kutuaibisha kimataifa haitoshi, wanazidiwa na Azam na Biashara FC. Go fu-ck yourself.
 
Waliobebwa ndo hao hao wanawakojolea kila mnapokuktana nao sijui mliwabebaje apo maana amkuchukua kwao ata point moja ya maana ni kichekesho, awa jwaneng unawalinganisha na Rivers? Awa kiwango chao ni sawa na mbeya city, au majimaji ya songea
Timu zote zilizoanza raundi ya awali ziko level moja. Ila zilishoshinda na kuingia roundi ya kwanza zilikuwa bora katika wabovu.
 
Uto ni kama kahaba tu, anayadharau mafuta mgando wakati yanamrahisishia kazi yake!
 
Ni jambo la aibu pia timu iliyobebwa kucheza champions league kufungwa home and away sema nini hawa jamaa hii tiketi waliipambania home boy
Umeshasema kubebwa sasa kaa kimya ulitegemea anaye bebwa atafanya maajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…