uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,085
Ni kweli wabotswana ni utopolo iliyochangamka yaani wamewazidi yanga kidogo tu sema wao hawajakamia mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mnapokutana unataka kumanisha nn? Kigoma ulikutana na Nani na vipi Nan alikojolewa huko?Waliobebwa ndo hao hao wanawakojolea kila mnapokuktana nao sijui mliwabebaje apo maana amkuchukua kwao ata point moja ya maana ni kichekesho, awa jwaneng unawalinganisha na Rivers? Awa kiwango chao ni sawa na mbeya city, au majimaji ya songea
Tumark nini wewe yanga fatilia ligi kuuMakolo hawataki ukweli
Hapa hakuna timu kabisa, timu kibonde ambao hawana hata physic bado hata kumiliki mpira ni shida kabisa, hii simba wajiandae maumivu huko makundi
Mark my words
Ah atapatikana tuYaani hii simba hatua ya makundi lazima apatikane mchawi
Aya sawaTumark nini wewe yanga fatilia ligi kuu
Huku kwa njemba kubwa tuachie sisi na pointi 1 yako
Simba na Yanga mnashindana aibu, yanga kala aibu ya kutolewa simba kala aibu ya kuingia makundiKipimo Chao kilikua yanga[emoji123][emoji172][emoji169] na Dodoma Jiji,pale ndio usajili wa makapi yao ulionekana,km hao kina kanoute hawaonekani kwa game km ya leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787],mtani huna timu,mwisho wa aibu unakuja jiandae[emoji85]
Hata wawe na usomi kiasi gani, lakini wakifika kwenye Yanga yao, wanakuwa kama HAMNAZO VILEEEEEEEEE! Hayo sio maneno yangu. Sina shaka anaeleweka!Ukitaka wakimbie uzi uwambie wanakutana na yanga wiki ijayo uone watavyobana mik,,,ndu yao apa, wabotswana ata kushoot tu golini awajui sijui ile timu waliyoitoa kwa 2-1 inaonekana ni Kama zile timu za Djibouti, shelisheli na Somalia, maana ni mechi ambayo aikuwa na mvuto kabisa
Yule demu wa Mzee Tozi anasema Galaxy ni vibondeUKIONA SIMBA
ANASHINDA
KIMATAIFA
UNAWEZA SEMA
KIMATAIFA NI
RAHIISI, INGIA
WEWE SAS
Asante kwa uchambuzi mzuri.Nimeamini utopolo ni wajinga kumbe:-
Wydad casablanca kapigwa 1-0 ugenini
Al Ahly kadroo 1-1ugenini
Rivers united ( waliowatoa gongowazi) wamedroo 1-1nyumbani
Tp mazembe alidroo 0-0 ugenini
Zanaco fc ( ya kapumbu) waliopiga utopolo siku ya misukule wamepigwa 3-0 ugenini na El Merrikh iliyopigwa na Simba 3-0 kwa mkapa
Mpaka sasa ni Simba sc ndiyo timu pekee iliyopata ushindi wa magoli mengi ugenini.
Ulitaka wacheze kukufurahisha wewe ilihali tayari walikuwa na goli mbili za away?
CAF CL ni league ya kutumia akili sana, ukikurupuka unaoshwa nje ndani kama kilichowakuta misukule.
[emoji106]Nimeamini utopolo ni wajinga kumbe:-
Wydad casablanca kapigwa 1-0 ugenini
Al Ahly kadroo 1-1ugenini
Rivers united ( waliowatoa gongowazi) wamedroo 1-1nyumbani
Tp mazembe alidroo 0-0 ugenini
Zanaco fc ( ya kapumbu) waliopiga utopolo siku ya misukule wamepigwa 3-0 ugenini na El Merrikh iliyopigwa na Simba 3-0 kwa mkapa
Mpaka sasa ni Simba sc ndiyo timu pekee iliyopata ushindi wa magoli mengi ugenini.
Ulitaka wacheze kukufurahisha wewe ilihali tayari walikuwa na goli mbili za away?
CAF CL ni league ya kutumia akili sana, ukikurupuka unaoshwa nje ndani kama kilichowakuta misukule.
te te te atakuwa anafikiria kwa kutumia msambwandaYule demu wa Mzee Tozi anasema Galaxy ni vibonde
te te te wasiogope mwakani wanabebwa tena waondoe shaka wakatie aibu..Wydad Casablanca kala 1-0.
Rivers United wababe wa utopplo wamechomoa 1-1.
Ila jwaneng wanaonekana wabovu kiss wamefungwa na Simba.
Ila wangeshinda wangeambiwa wazuri
Timu zote zilizoanza raundi ya awali ziko level moja. Ila zilishoshinda na kuingia roundi ya kwanza zilikuwa bora katika wabovu.Waliobebwa ndo hao hao wanawakojolea kila mnapokuktana nao sijui mliwabebaje apo maana amkuchukua kwao ata point moja ya maana ni kichekesho, awa jwaneng unawalinganisha na Rivers? Awa kiwango chao ni sawa na mbeya city, au majimaji ya songea
Umeshasema kubebwa sasa kaa kimya ulitegemea anaye bebwa atafanya maajabuNi jambo la aibu pia timu iliyobebwa kucheza champions league kufungwa home and away sema nini hawa jamaa hii tiketi waliipambania home boy