TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Huyu Jamaa wiki iliyopita nilikuwa naye pale Dodoma,ajabu ni kwamba kuna mambo alikuwa akiniambia nikawa nashangaa tu!
Baada ya kugundua alichokuwa akimaanisha,aiseee nimetafakari sana usiku wa Leo na usingizi umegoma kabisa!
Jamaa kaniambia tuupe Muda - Muda
KAOLE SANAA GROUP
Utalombwa uraruke!Ina majina mengi ngoja mi nikupe mawili tu
1. Acapulco
2. Marijuana
Ngoja nifungue code kwa kuweka code:Baada ya kugundua alichokuwa akimaanisha,aiseee nimetafakari sana usiku wa Leo na usingizi umegoma kabisa!
Bundi mwnyw hapo amebaki kushangaa tuu
Asilimia kubwa ya wabongo ni wachawi mnaikandia sana SGR jifunzeni kupongeza hata kwa kidgo kinachofanywa na serikali.
Kweli kabisa. Hili la SGR tunakosea sana kuponda na kuonesha kama hatuwezi kitu. Huu mradi ukifail ni aibu yetu soteAsilimia kubwa ya wabongo ni wachawi mnaikandia sana SGR jifunzeni kupongeza hata kwa kidgo kinachofanywa na serikali.
Badala ya kubeba abiria ulitaka ibebe vifusi vya kokoto sio? Raisi keshasema lengo la serikali ni kutoa huduma kwa wananchi na sio kufanya biashara kwahiyo haijalishi serikali inatumia gharana kiasi gani muhimu huduma iliyokusudiwa ipatikane wabongo nuksi sana yaani mnarahisishiwa huduma ya usafiri mikoani bado mnapiga makelele kama sio uchawi ni nini?Tupongeze kwa lipi?
Kutumia matrilioni ya pesa kujenga reli ya kubeba abiria?
Mpaka siku nitakapoona freight trains zinaanza kutumia mradi huo nitaoana atleast kuna tija
Kwa sasa ni hasara tupu railway operation expenses exceeded revenues
Ni ujinga tu umetujaa watanzania yaani washaanza kuombea mradi ufe wakati ndio Kwanzaa umeanza, Mimi Huwa nahisi katika top 3 za nchi zinazoongoza kwa wananchi wake kuwa washirikina duniani basi na Tanzania imo.Kweli kabisa. Hili la SGR tunakosea sana kuponda na kuonesha kama hatuwezi kitu. Huu mradi ukifail ni aibu yetu sote
ua aisee...hata kama ni huduma...matrilioni yote haya! Halafu Hospitali zipo hoi!Badala ya kubeba abiria ulitaka ibebe vifusi vya kokoto sio? Raisi keshasema lengo la serikali ni kutoa huduma kwa wananchi na sio kufanya biashara kwahiyo haijalishi serikali inatumia gharana kiasi gani muhimu huduma iliyokusudiwa ipatikane wabongo nuksi sana yaani mnarahisishiwa huduma ya usafiri mikoani bado mnapiga makelele kama sio uchawi ni nini?
Badala ya kubeba abiria ulitaka ibebe vifusi vya kokoto sio? Raisi keshasema lengo la serikali ni kutoa huduma kwa wananchi na sio kufanya biashara
Hii nchi ina watu wajinga wenye roho mbaya wachawi wasiopenda maendeleo we ona hata baadhi ya mikoa isiyokuwa na maendeleo watu wake ni wachawi sanaBadala ya kubeba abiria ulitaka ibebe vifusi vya kokoto sio? Raisi keshasema lengo la serikali ni kutoa huduma kwa wananchi na sio kufanya biashara kwahiyo haijalishi serikali inatumia gharana kiasi gani muhimu huduma iliyokusudiwa ipatikane wabongo nuksi sana yaani mnarahisishiwa huduma ya usafiri mikoani bado mnapiga makelele kama sio uchawi ni nini?
Kabisa,tena wenye mabasi nawaonaAsilimia kubwa ya wabongo ni wachawi mnaikandia sana SGR jifunzeni kupongeza hata kwa kidgo kinachofanywa na serikali.
Kweli kabisaHii nchi ina watu wajinga wenye roho mbaya wachawi wasiopenda maendeleo we ona hata baadhi ya mikoa isiyokuwa na maendeleo watu wake ni wachawi sana
Mtu amesoma lakin hapend maendeleo ni kwa sababu ameridhi roho mbaya na uchawi kwa baba na babu zake
Hao watu wapo tayari wakwamishe maendeleo sehemu fulani wengine waendelee kuteseka akiwepo yeye mwenyewe
Usiangalie miradi iliyofeli tu angalia na iliyofaulu hata hiyo BRT imepunguza foleni kwa kiasi kikubwa sanaEti Abood atakosa biashara, kauli kama hii inatolewa na Mwenyekiti wa CCM huku akiamini hivyo anasahau kuwa few years back tuliaminishwa kuwa BRT na "treni ya mwakyembe" ya Ubungo -posta itamaliza tatizo la foleni Mjini hasa MOROGORO road.......wakaondoa Hadi vituo vya Daladala....... Leo hii hali ikoje???
Alijisemea Mama Professor Tibaijuka kuwa "kadiri unavyofanua ndivyo watu wanavyo....zaidi". Kwahio mwambieni Raisi awe na maono sio haya Mambo ya kufurahisha genge.
Hata hizo changamoto za BRT sidhani kama serikali imeshindwa kabisa kuzitatua ninaamini ipo mikakati inafanyika kuweka mambo sawaUsiangalie miradi iliyofeli tu angalia na iliyofaulu hata hiyo BRT imepunguza foleni kwa kiasi kikubwa sana