Mmiliki mmoja wa Bus amenipigia simu huku akicheka sana, nimemuuliza sababu za yeye kucheka hajajibu ameamua kukata simu

Mmiliki mmoja wa Bus amenipigia simu huku akicheka sana, nimemuuliza sababu za yeye kucheka hajajibu ameamua kukata simu

Mbongo ni mtu wa ajabu sana.atakula makande na mayai kwa njaa zake mwenyewe ,tumbo likimuuma analaumu serikali kwanini haiweki vyoo kila mahali.
Treni ipo pale,mabasi yapo pia pale pale.
Treni ya abiria ina kazi zake,freight train si juzi tu imepiga mweleka maana mmepeleka bundi na sokwe wakakate umeme.
Na nyie mlikusudia ya abiria ndio iue watu.
Mungu si rajabu ikapita ya mizigo ikadondoka.
Famililai hamna mfu.
Acheni mambo ya hovyo na roho mbaya nyie.
 
Asilimia kubwa ya wabongo ni wachawi mnaikandia sana SGR jifunzeni kupongeza hata kwa kidgo kinachofanywa na serikali.
Hawakandii SGR, ila wanaoisimamia ndiyo wanaushangaza umma, kwanini yanatokea hayo yanayotokea?
 
Usiangalie miradi iliyofeli tu angalia na iliyofaulu hata hiyo BRT imepunguza foleni kwa kiasi kikubwa sana
BRT imepunguza foleni? Sio kweli kabisa, kilichopunguza foleni (ambayo in real sense haijapungua) ni ujenzi wa zile feeders za udhamini wa DMDP na nyingine kwa mfano, ukienda Kimara kutokea posta na Mnazi mmoja unaweza kupita Kigogo, Mabibo mwisho, maji chumvi, unapanda juu kule kisukuru unafika Kimara kwa Daladala na sio BRT, huko BRT mmejaza Bajaj, gari ikipata breakdown foleni kama yote
 
Badala ya kubeba abiria ulitaka ibebe vifusi vya kokoto sio? Raisi keshasema lengo la serikali ni kutoa huduma kwa wananchi na sio kufanya biashara kwahiyo haijalishi serikali inatumia gharana kiasi gani muhimu huduma iliyokusudiwa ipatikane wabongo nuksi sana yaani mnarahisishiwa huduma ya usafiri mikoani bado mnapiga makelele kama sio uchawi ni nini?
Itakuwa uchawi tu
 
Hata hizo changamoto za BRT sidhani kama serikali imeshindwa kabisa kuzitatua ninaamini ipo mikakati inafanyika kuweka mambo sawa
tatizo la mbongo anataka akiamka asbhi akute Kila kitu kinaenda smoothly utafikiri Yuko peponiza uso

Za uso........................
 
Umasikini ni laana aisee, ukiwa masikini ni lazima uwe mchawi, roho mbaya n.k
Iwapo tu hujawahi kuelemika! Walioellimika (siyo lazima wawe wamesoma) huwa hawafnyi haya
Possibly ulisoma ila hukubahatika kuelemika
 
Back
Top Bottom