Mmiliki na Dereva wa gari yenye usajili T 546 DGV wachukuliwe hatua kali za Kisheria

Hiyo njia madereva wengi wanakuwaga njwiiii,kuna siku nlikuwa kwenye pikipiki njia hapo kwa mpemba,gari ilinifata ila nlitumia uzoefu mkubwa kumkwepa maana alikuwa ananifata,mwisho wa siku yeye aliishia kugonga pembeni
Nlimfata nkamkuta kalewa,ila nlimtia magumi ya kutosha

Ova
 
F687FC2E-BF44-4C01-898C-A95B20AAF7A6.jpeg

If looks could kill….
 
Hiyo njia madereva wengi wanakuwaga njwiiii,kuna siku nlikuwa kwenye pikipiki njia hapo kwa mpemba,gari ilinifata ila nlitumia uzoefu mkubwa kumkwepa maana alikuwa ananifata,mwisho wa siku yeye aliishia kugonga pembeni
Nlimfata nkamkuta kalewa,ila nlimtia magumi ya kutosha

Ova
😀😀
 
Huyo likely ni mjeda au TISS. Ndo zao hizo. Hudhani wako invincible. Kuna mahali nilikaa kwa muda karibu na kambi ya jeshi matukio haya yalikuwa ya kawaida tu. Walikuwa wanaparamia nguzo za umeme kila leo halafu wakitoka wanaacha gari hapo wanatembea kwenda kambini kwa miguu. No discipline whatsoever!
Umeniwahi nami nilifikiria hivo baada ya kuona picha.
 
Back
Top Bottom