TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mmiliki na Mkurugenzi wa Bar ya Chako ni Chako jijini Dodoma, God Makoi, afariki dunia kwa ajali ya gari

Yani kuna mafanikio ya level fulani ukifikia na aina ya economic activities zako unazofanya unatakiwa ufanye maamuzi magumu ya kuacha kunywa pombe ya aina yoyote ili uweze kuepukana na maangamivu.
Seriously.
Ingependeza mno kusikia jamaa mmiliki wa baa lakini hanywi pombe kabisa !
Eti badala yake mnakuwa makomba nyie ?!
Ni hatari kwa uhai wenu.
Ukiwa timamu ni rahisi ku reason mambo mengi na kuchukua tahadhari.
Tujitakali.
Pia kujitahidi kuwa watu wa ibada
Tumche Mungu itasaidia kuepukana na mengi maana watu hatupendani,
Marafiki ni Watu wabaya sana anakuchekea mdomoni moyoni anajipiza kukuharibu maisha yako.
Ndugu halikadhalika ndio usiseme.
Very true
 
😂😂😂kweli upo sawa kichwani wewe? Huyo marehemu hafai kuigwa katika jamii sasa mtu anauza pombe na kumiliki danguro hivi kwa akili yako unaona ni mtu aliyekawa bora katika ustawi wa jamii kiujumla?wewe ni mkristo tatizo hapo kwa ushaamini Yesu kachukua dhambi za huyo aliyekataa kutii sheria za Mungu
Mkuu watu wanaangalia unapesa tu na hawaangalii pesa imetokana na shughuli gani, Yani muuza unga, Jangili, muuza pombe, Mwizi wote hao wanaeshimika kwenye jamii kuliko Mwalimu, Muuza. Chipsi au Mama lishe na Mkulima.
 
Kwahiyo Godiii ashazikwa????
Duh kwaheri rafiki, tutaonana baadae 😪



Tumeshamzika kaka yetu

 
Back
Top Bottom