Mmiliki wa Akaunti ya DAUDI T BALALI pale X ni Mwanamtandao, Alihusika Kumteka BALOZI POLEPOLE , Leo katwt Samia ANASHINDA 83%

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakuu, Mnakumbuka huyu Mpuuzi Daudi Balali ,alitoaga Twiti yake alisema 2030 Uchaguzi utakua usotabirika Kwa CCM.

Ni hivi huyu jamaani Mwanamtandaoo, na Ndie aliyemteka Mh Polepole .

Tarehe 21/8/2025 Huyu Jamaa alisimamia Mpango wa kumteka Mh BALOZI POLEPOLE, baada ya kujihakikishia kua anatekwa, Siku hii akapost Coded Messages zake , siku hii mpango huo Ulifeli, na BALOZI POLEPOLE akaja kutoa Hotuba yake saa Sita za usiku.

Hata hivo , Tarehe 5/10/2025 alipost Tena coded message baada ya kujitjibitishia kua Wanamtandao wamefaham Location Halisi ya wapi alipo, , siku hii Mpango wao ulitimilika na Hatimaye BALOZI Polepole akatekwa Usiku huohuo.

Huyu Daudi Balali, ni Moja ya Wanamtandao ambao walisimamia Suala la SAMIA KUJIPITISHA PALE DODOMA miezi Kadhaa Nyuma ilopita .

Watu wengi Kwa Sasa wandhan AKAUNTI HII imedukuliwa au amepewa Pesa, HAPANA.

Ni Mwanamtandaoo ambaye tumeshamjua na Tutamkaanga siku chache zijazo !!.

Someni hapa Andiko.lake la Leo kuhusu Samia

Screenshot_20251027_232652~2.jpg

Huyu tutamkangaa hivohivo katika Kujificha kwake !!
 
View attachment 3494886

Huyu tutamkangaa hivohivo katika Kujificha kwake !!
Sikufahamu Polepole aliwindwa zaidi ya mara moja...
 
Acheni malumbano yakibwege wazee , tujiandae na zoezi lililopo mbele yetu
 
Back
Top Bottom