Kwanini tunakumbushana vifo tukiwa usingizini?Leo ndio nmejua kwanini huyu D alikua anatoa elimu ya UKIMWI kwa nguvu sana, kumbe mambo yalianzia kwa macheni
🤣🤣🤣🤣 ziraili haogopi pushapuKwanini tunakumbushana vifo tukiwa usingizini?
Imenibidi nidamke nipige push ups mbili tatu ndo nirudi kwa bed.
Ziraili hatabiriki...
Bora akukute umechangamka kuliko akukute unaota umekuwa Rais wa Kenya....🤣🤣🤣🤣 ziraili haogopi pushapu
Haya asubuhi njemaNyani haoni kundule.
Na kundu halioni nyani.... Mbona hujamjibu shangazi?Haya asubuhi njema
aMmiliki wa baa maarufu ya Macheni iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Hussein Macheni amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla akiwa nyumbani kwake Magomeni.
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu ni kwamba Macheni alianguka ghafla majira ya saa 3 asubuhi na kukimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo iligundulika kuwa tayari amefariki.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa Muhimbili kusubiri taratibu nyingine. Mwenyezi Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi. AMEN.
Chanzo : Global Publishers
Miaka ya 90 hujafikiria kuzaliwa lakini nikipost kitu cha miaka ya 80 humu JF unanibishia!😀Dah! miaka hiyo bado sijafikiriwa kazaliwa aisee! apumzike kwa aman
R.I.P mpambanajiMmiliki wa baa maarufu ya Macheni iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Hussein Macheni amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla akiwa nyumbani kwake Magomeni.