TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

iko siku nilipiga tungi sana kwa macheni, nikabeba shoga nilijua mwanamke kutokana na mwonekano wake na ongea yake, nimekuja kushtuka ni mwanaume niko nae kwenye tax, hahaha sitasahau kilichotokea.
...Ukaenda Mpalange ?[emoji3][emoji3]
 
Dah noma sana mkuu,,kuna siku nilkua napitia uzi mmoja hivi kuhusu huyu machen na defao kwamba wote walikua wanapigwa basi nilisikitika sana kwakwel sikutamani ata kuendelea kupata taarifa zake
Duh...
 
Mmiliki wa baa maarufu ya Macheni iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Hussein Macheni amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla akiwa nyumbani kwake Magomeni.

HM.jpg


Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu ni kwamba Macheni alianguka ghafla majira ya saa 3 asubuhi na kukimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo iligundulika kuwa tayari amefariki.

Mwili wa marehemu umehifadhiwa Muhimbili kusubiri taratibu nyingine. Mwenyezi Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi. AMEN.

Chanzo : Global Publishers
Mimi hata sikualikwa kwenye huo mwago. Hiyo Dunia aliiagaje? Au kuna watu walitumwa kutuwakilisha?
 
Ni kweli kabisa mkuu mana kuna stor nyingi nikiziona hua nataka niangalie comment yako inasemaje hasa za ki mjini mjini
Hahah ah ok

Tupo humu kusaidiana,kufunguana,
Kupeana code tu

Ova
 
Kwenye hio anayehukumu ni Mwanadamu kwani?
anehukumu ni Mungu na yeye alishatuwekea wazi. Ukifanya mema na ukiwa sababu ya mema utalipwa mema. Na ukifanya maovu au ukiwa sababu ya uovu utalipwa uovu.

Nasema marehemu ajiandae
 
Back
Top Bottom