Nilitaka kushangaa wakati Macheni mwenyewe …..Aliyemfumua Defao sio Macheni bali ni rafiki wa karibu Sana wa Macheni. Mheshimiwa mmoja mwizi Sana akisikia harufu ya choo anasisimka utadhani mfungwa kaona mwanamke mnene aliyevaa khanga moja iliyorojoka hata jina lake linaashiria uchafu, mheshimiwa huyu ana uadui wa asili na wanawake, mabibi zake ni wanaume tu.
Sasa hivi Yuko Kama scania iliyo silence.