daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Ukichukua changudoa mkiingia chumbani unatoa hela wakati yeye anatoa condom, ngoma tunazipata huku huku mtaani kwa kujifanya tunaaminiana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Ukaenda Mpalange ?[emoji3][emoji3]iko siku nilipiga tungi sana kwa macheni, nikabeba shoga nilijua mwanamke kutokana na mwonekano wake na ongea yake, nimekuja kushtuka ni mwanaume niko nae kwenye tax, hahaha sitasahau kilichotokea.
Noma sana!Bar ya Macheni
Galaxy Magomeni
Sewa Buguruni
Bonga ilala
Zimeua watu wengi Sana Dar.
Tulipuyanga sana mjini
Tumekutana na watu na
Kuona mengi mkuu
Sahvi tumekuwa watizamaji tu
Tunangalia mji unavyokwenda
Tu
Ova
Duh...Dah noma sana mkuu,,kuna siku nilkua napitia uzi mmoja hivi kuhusu huyu machen na defao kwamba wote walikua wanapigwa basi nilisikitika sana kwakwel sikutamani ata kuendelea kupata taarifa zake
SawasawaTulipuyanga sana mjini
Tumekutana na watu na
Kuona mengi mkuu
Sahvi tumekuwa watizamaji tu
Tunangalia mji unavyokwenda
Tu
Ova
Mimi hata sikualikwa kwenye huo mwago. Hiyo Dunia aliiagaje? Au kuna watu walitumwa kutuwakilisha?Mmiliki wa baa maarufu ya Macheni iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Hussein Macheni amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla akiwa nyumbani kwake Magomeni.
![]()
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu ni kwamba Macheni alianguka ghafla majira ya saa 3 asubuhi na kukimbizwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo iligundulika kuwa tayari amefariki.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa Muhimbili kusubiri taratibu nyingine. Mwenyezi Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi. AMEN.
Chanzo : Global Publishers
Hahah ah okNi kweli kabisa mkuu mana kuna stor nyingi nikiziona hua nataka niangalie comment yako inasemaje hasa za ki mjini mjini
anehukumu ni Mungu na yeye alishatuwekea wazi. Ukifanya mema na ukiwa sababu ya mema utalipwa mema. Na ukifanya maovu au ukiwa sababu ya uovu utalipwa uovu.Kwenye hio anayehukumu ni Mwanadamu kwani?
Huyo huyo wa TabataAshura wa Tabata au Ashura mwingine !.
Uyu mh diwani alipotelea kwake? Ni mwanamke mzuei kiasi gani asiye chuja hadi leo?Huyo huyo wa Tabata
hiv JF wote mnaishi dizim??Ooh 90's totoz tumezila sana pale. RIP
Ndio huyo mkuu, waswahili wanasema ana udongo mzuri ila atakuwa around 40 - 44 yearsUyu mh diwani alipotelea kwake? Ni mwanamke mzuei kiasi gani asiye chuja hadi leo?
huyu jamaa ni mwenyeji wa wapi kwa anaefahamu/
Palikuwa papo hovyo hovyo ila hilo vibe lake sio mchezo.Dah....nimekula sana totoz hapo kwenye baa yake miaka ya 90.
Apumzike kwa Amani.
Pole sana, ARV ni nzuri sinasaidia sana, si unaona hadi leo upo hai ✌️
Duh, unafukuwa makaburi.Leo ndio nmejua kwanini huyu D alikua anatoa elimu ya UKIMWI kwa nguvu sana, kumbe mambo yalianzia kwa macheni
We mama huwa hulaliDuh, unafukuwa makaburi.
Nyani haoni kundule.We mama huwa hulali